Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaha angeniunga mm ungeona ambavyo ningeharisha huko pm ambako hakunaga ban
Unamaanisha ni @unforgetable?
Yaani ndiyo maana ukitongoza JF ujiulize mara tatu tatu... unaweza ukatongoza ulipowahi kupigwa kibuti au ex wako.Nampendaga yule dada ..Yuko wazi Sana katika nyuzi zake hanaga kufichaficha
Ila nahisi Kama ni huyu mwenye I'd ya unfogertable
Yaani ndiyo maana ukitongoza JF ujiulize mara tatu tatu... unaweza ukatongoza ulipowahi kupigwa kibuti au ex wako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daby bhanaYaani ndiyo maana ukitongoza JF ujiulize mara tatu tatu... unaweza ukatongoza ulipowahi kupigwa kibuti au ex wako.
Shhhiiiiiii...sio hajamaanisha hivyo
Ndo wewe kumbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.
Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
Hahahhaa ukawa unachoreka tu pmYaani ndiyo maana ukitongoza JF ujiulize mara tatu tatu... unaweza ukatongoza ulipowahi kupigwa kibuti au ex wako.
[emoji848]Nampendaga yule dada ..Yuko wazi Sana katika nyuzi zake hanaga kufichaficha
Ila nahisi Kama ni huyu mwenye I'd ya unfogertable
Dah!! ledadatayari mkuu mambo ya betri
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Nilikumiss.Hahahahahahahaha yani wewe viatuu
MIMI nilikutana naye mwaka jana apo samaki samaki alikuwa na yule bwana wake wa kiitaliano.Last time nilipishana nae pale BOT akienda kuchange Dollar mara ya mwisho nilimwona Heathrow Airport akichange ndege akienda State, na mm nikisubiri ndege za kuunganisha kuelekea Ufaransa, nafikiri atakuwa amebanwa na majukumu ya hapa na pale infact anafanya kazi ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje....
Yaaah!!!! Ngoja niendelee kuota..
Aiseeee😂
Nakupenda pia uncleUncle..!!
Nakupenda uncle wangu.