Evely Salt Amepatwa Na Nini?

Evely Salt Amepatwa Na Nini?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hahaha angeniunga mm ungeona ambavyo ningeharisha huko pm ambako hakunaga ban
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani ndiyo maana ukitongoza JF ujiulize mara tatu tatu... unaweza ukatongoza ulipowahi kupigwa kibuti au ex wako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daby bhana
 
Amekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.

Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Last time nilipishana nae pale BOT akienda kuchange Dollar mara ya mwisho nilimwona Heathrow Airport akichange ndege akienda State, na mm nikisubiri ndege za kuunganisha kuelekea Ufaransa, nafikiri atakuwa amebanwa na majukumu ya hapa na pale infact anafanya kazi ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje....

Yaaah!!!! Ngoja niendelee kuota..
MIMI nilikutana naye mwaka jana apo samaki samaki alikuwa na yule bwana wake wa kiitaliano.
 
Back
Top Bottom