Asante uncleNakupenda pia uncle
Have a nice morning!☕
Wengine hata tukipotea hatujulikani hamna wa kutuulizia[emoji848][emoji848]
ohoooo afadhaliiMimi nakufuatilia na ulimzi nakupa hivyo hauwezi kupotea kirahisi rahisi tu
Ulimiss nini?[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Nilikumiss.
Ruwaa hebu tema mate chini😢😢🤣R.I.P
Nilimiss kuona kama bandarini ulienda au bado.Ulimiss nini?
alikuwa ananisumbua huko PM nikamreport wakamlima ban.
Hata mimi nime mmic sana huyu madam,ni moja kati ya watu naowakubali sana hapa jamiiforums...madam Evelyn Salt wherever you are,i real miss you & i love you
Ni mda sasa Bibie Evelyn Salt amekuwa banned kutotumia jamiiforum ni yapata miezi sasa. Kwani kafanya kosa gani mpaka apewe bann ya mda mrefu kiasi hiki?!
Tukumbuke Evelyn Salt ni moja kati ya watu wakongwe sana humu jamvini nikiwepo nami pia. Toka 2009/10-12 tumekuwa humu, ni mcheshi sana, mrembo haswaa, kutokuwepo active ni pigo hasa kwetu sisi wadau tunaomfahamu.
Hivi Moderator mwaweza tusaidia kwa kutuambia alifanya kosa gani?
View attachment 1185994
Watumie mesaage mods uwaombeI wish na mimi wanapige ban ya milele nishachoka kuingia ingia humu!
Such an unsafe rowdy place!
I hate JF!
Not everyone deserves freedom.