Evely Salt Amepatwa Na Nini?

Evely Salt Amepatwa Na Nini?

Ni Ndugu yangu huyu dada wote tunakokea kule nyampande

Awe huru sasa aisee
 
Ni mda sasa Bibie Evelyn Salt amekuwa banned kutotumia jamiiforum ni yapata miezi sasa. Kwani kafanya kosa gani mpaka apewe bann ya mda mrefu kiasi hiki?!

Tukumbuke Evelyn Salt ni moja kati ya watu wakongwe sana humu jamvini nikiwepo nami pia. Toka 2009/10-12 tumekuwa humu, ni mcheshi sana, mrembo haswaa, kutokuwepo active ni pigo hasa kwetu sisi wadau tunaomfahamu.

Hivi Moderator mwaweza tusaidia kwa kutuambia alifanya kosa gani?


View attachment 1185994

I wish na mimi wanapige ban ya milele nishachoka kuingia ingia humu!

Such an unsafe rowdy place!

I hate JF!
 
Back
Top Bottom