Evely Salt Amepatwa Na Nini?

Amekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.

Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
Mimi ndio nilimjibu mkuu yule madam mpuuzi sana hahahah
 
Amekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.

Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
Mi nimemripot,,Zikafuwa,,ananiudhi sana na hiyo tabia
 
MIMI nilikutana naye mwaka jana apo samaki samaki alikuwa na yule bwana wake wa kiitaliano.
Halafu umenikumbusha mbali hawa Waitaliano ni wauzaji na wasafirishaji wazuri sana wa drungs....
 
Amekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.

Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
kuchoshana tu
 
Ndoto kweli ni ndoto maana unaota last time na mara ya mwisho sehemu tofauti.

Endelea kuota.
 
Amekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.

Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu

🤣🤣🤣
 
Ah huyu Money Penny abaniwe tu.

Ananichoshaga na vistory vyake na kulazimisha kutag watu. Muachweni apumzike na sisi tupumue ili akirudi atunyooshe mpaka tukome.

Evelyn Salt arudishwe tu

Nahisi mkongwe mwenzangu alichomoa betri somewhere
@mods mrudishen salt bwana [emoji7][emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…