BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
I am 110% sure this lady deserves it.
Not everyone deserves freedom.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not everyone deserves freedom.
Mimi ndio nilimjibu mkuu yule madam mpuuzi sana hahahahAmekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.
Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ndio nilimjibu mkuu yule madam mpuuzi sana hahahah
Mi nimemripot,,Zikafuwa,,ananiudhi sana na hiyo tabiaAmekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.
Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ruwaa hebu tema mate chini[emoji22][emoji22][emoji1787]
My...Ruwaa hebu tema mate chini[emoji22][emoji22][emoji1787]
Halafu umenikumbusha mbali hawa Waitaliano ni wauzaji na wasafirishaji wazuri sana wa drungs....MIMI nilikutana naye mwaka jana apo samaki samaki alikuwa na yule bwana wake wa kiitaliano.
Then if need be you must fight for hersI am 110% sure this lady deserves it.
Then if need be you must fight for hers
Hahahahaha ulikataa kunichangia ningeendaje sasa🙄🙄Nilimiss kuona kama bandarini ulienda au bado.
Ah huyu Money Penny abaniwe tu.Pia mwenzake Money Penny!
kuchoshana tuAmekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.
Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
2....8?Nimempigia simu, naambiwa "Huduma kwa namba hii imezuiliwa kwa muda…!
Kwa hiyo hata kwenye simu kapigwa ban.
Ndoto kweli ni ndoto maana unaota last time na mara ya mwisho sehemu tofauti.Last time nilipishana nae pale BOT akienda kuchange Dollar mara ya mwisho nilimwona Heathrow Airport akichange ndege akienda State, na mm nikisubiri ndege za kuunganisha kuelekea Ufaransa, nafikiri atakuwa amebanwa na majukumu ya hapa na pale infact anafanya kazi ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje....
Yaaah!!!! Ngoja niendelee kuota..
Wewe nenda pale si bei kubwa, tatizo unaogopa.Hahahahaha ulikataa kunichangia ningeendaje sasa[emoji849][emoji849]
Amekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.
Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
Ah huyu Money Penny abaniwe tu.
Ananichoshaga na vistory vyake na kulazimisha kutag watu. Muachweni apumzike na sisi tupumue ili akirudi atunyooshe mpaka tukome.
Evelyn Salt arudishwe tu
wamrudishe tu hakuna namnaNahisi mkongwe mwenzangu alichomoa betri somewhere
@mods mrudishen salt bwana [emoji7][emoji7]