Evelyn Salt anajiita baharia, hivi kuna baharia wa kike.

Kazi ya ubaharia haina jinsia mabaharia wanawake wapo kibao,kuna mmoja yuko kwenye Azam sealink 2 mrembo wa haja.
 
Atakuwa Baharia wa Mv Kigamboni.🀣🀣


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Wewe unajiita mtanashati, je ni mtanashati kweli?
 
Hakuna mwanamke Baharia kuna wanawake Maharia
kiswahili ni kibantu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…