Evelyn Salt anajiita baharia, hivi kuna baharia wa kike.

maana ya neno Baharia kwenye lugha zetu za mtaani ndio inaleta utata, na nahisi ndio mleta mada kalenga hapo
 
Wachaaa, baharia ni wale wazamiaji na kuibuka kwenye chini za watu bila vibali yani kambi popote
😂😂😂 ndio nilivyokuwa najua hivyo ujue.

Hivyo Ubaharia ni neno pana basi maana ukisoma post no. #29 nayo inamaana ya Ubaharia.
 
Sasa ndio nafaham konk konk oil chafu anakaz kubwa sana
 
😂😂😂 ndio nilivyokuwa najua hivyo ujue.

Hivyo Ubaharia ni neno pana basi maana ukisoma post no. #29 nayo inamaana ya Ubaharia.

Mkuu, baharia ni neno la kiswahili ambalo kwa lugha ya kiingereza ni sailor.. na ukiangalia kamusi neno sailor maana yake ni:
a person whose job it is to work as a member of the crew of a commercial or naval ship or boat, esp. one who is below the rank of officer.

Sasa kwa kiswahili imekuwa ni baharia na linatokana na neno bahari.. So kwa anaefanya kazi ndani ya chombo ambacho kinapita baharini ndo amepewa jina la baharia.. Ila kwa vyeo vya juu, wanakuwa na majina maalum katika kuwatambua na majukumu yao..
 
Ooh. Ahsante Mkuu.

🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom