πππππ sasa ubaharia uko wapi hapo Mkuu?Unaweza kuwa baharia lkn unapika kwenye meli au unasafisha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ubaharia uko wapi hapo Mkuu?
Au mie ndio sijui vizuri tafsiri ya Ubaharia?
Mie siku zote najua Baharia ni wale manahodha sijui Makapteni wanaoendesha meli.Baharia maana yake nn?!
Mie siku zote najua Baharia ni wale manahodha sijui Makapteni wanaoendesha meli.
Umeweka mpaka mwaka uliozaliwa upo vizuriProfile yangu inathibisha kazi yangu
Ooh. Ahsante kwa kunielewesha Mkuu.Ukishafanya kazi kwny chombo cha majini tu ni baharia mle ndani ndio kuna vyeo tofauti
Wachaaa, baharia ni wale wazamiaji na kuibuka kwenye chini za watu bila vibali yani kambi popoteMie siku zote najua Baharia ni wale manahodha sijui Makapteni wanaoendesha meli.
πππ ndio nilivyokuwa najua hivyo ujue.Wachaaa, baharia ni wale wazamiaji na kuibuka kwenye chini za watu bila vibali yani kambi popote
πππ ndio nilivyokuwa najua hivyo ujue.
Hivyo Ubaharia ni neno pana basi maana ukisoma post no. #29 nayo inamaana ya Ubaharia.
Ooh. Ahsante Mkuu.Mkuu, baharia ni neno la kiswahili ambalo kwa lugha ya kiingereza ni sailor.. na ukiangalia kamusi neno sailor maana yake ni:
a person whose job it is to work as a member of the crew of a commercial or naval ship or boat, esp. one who is below the rank of officer.
Sasa kwa kiswahili imekuwa ni baharia na linatokana na neno bahari.. So kwa anaefanya kazi ndani ya chombo ambacho kinapita baharini ndo amepewa jina la baharia.. Ila kwa vyeo vya juu, wanakuwa na majina maalum katika kuwatambua na majukumu yao..