Even after loans amounting to $2 bln, CBK Governor projects a tough economic prospects for the 2nd quarter

Even after loans amounting to $2 bln, CBK Governor projects a tough economic prospects for the 2nd quarter

Wacha kuchekesha wewe, ni nchi gani ambayo uchumi wake upo na mizizi mirefu katika ukanda huu, uchumi wa Tanzania umebebwa na:

1) Kilimo, Uvuvi na Ufugaji: Tanzania ndiyo nchi pekee yenye ardhi kubwa na yenye rutuba kwa ajili ya kilimo, Tanzania ndiyo nchi yenye ukanda mkubwa wa bahari ya Hindi, na Maziwa matatu makubwa kwa ajili ya Uvuvi, Tanzania ndiyo nchi yenye mifugo mingi nyuma ya Ethiopia.

2) Utalii, katika hili sina sababu ya kuelezea uimara wa utalii wa Tanzania

3) Madini, hapa sihitaji kusema lolote, nadhani unajua kuhusu wingi wa madini Tanzania.

4)Natural gas; Unafahamu wingi wa gesi iliyopo Tanzania.

5) Uzalishaji wa viwandani: Ninadhani unaona ni kiasi gani bidhaa za viwandani za Tanzania zinavyosambaa katika nchi Jirani, kuanzia bidhaa za Azam, Mo, na bidhaa zingine.

6) Usafirishaji; Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi, na Zimbabwe, hutegemea sector ya Usafirisha wa Tanzania kwa zaidi ya 8O% ya bidhaa zao.

Tafadhali taja uchumi wa Kenya umeshikiliwa na "Sectors"zipi ambazo ni strong zaidi ya " Remittances?"
Na huu msaada mnapewa kwanini?
Tanzania Receives $2.4M From the US -
 
Tuko na hela za ndani mbona tupewe msaada na Mabeberu?
Bajeti yetu kila mwaka haiwezi kulinganishwa na yaTz. Hilo kila mtu yuajua. Kwa hivyo hata tuwe na pesa kwa wingi jinsi gani, hizo za nje lazima ziwepo. Nchi zote zilizoendelea huwa hivyo....tazama debts za mataifa yaliyokuwa utafaham zaid
 
What is Tanzania's projected growth amidst this pandemic? Nchi mingi zinaeka wazi expected economic performance., nipe ya LDC kaka., nyie mnaeza poromoka kwasababu uchumi wenyu hauna mizizi dhabiti., revenue in relation na mahitaji yenyu wakati wakawaida imekua haitoshi, sasa leo hii mtakua vipi?
Malizeni kwanza Corona loan na locust loan

Tz ipo stable ndio sababu hatukuhutaji mkopo wa Corona

Hakikisheni maji yanapatikana Nairobi na mmalizane na Kipindupindu
 
Back
Top Bottom