Even Prof. Ndalichako is far better than Samia

Yaani Rais Samia, kaachwa mbali kiuongozi na Dorothy gwajima, ndalichako, Kairuki, Ummy, jenister muhagama, yaani Samia kwa wanawake huko ccm ndio kama mwenye uwezo mdogo sana
Kaachwaje Sasa hao si Ni mawaziri wake au? Haitatokea hata siku Moja Rais Samia kuwa mpayukaji never ..

Kama.wamemzidi waambie waende kinyume na protokali na maelekzo tuone vinginevyo hizi Ni porojo za kufurahisha genge.
 
Kweli watu wasahaulifu yani kupayuka Ndio sifa ya uongozi? Kutukana watu na kufanya Mambo kwa kiki ndio sifa kuu ya kiongozi kweli watanzania tunashida sehemu.

Sent from my CPH1969 using JamiiForums mobile app
 
I appreciate it 💯%.
Sometimes is better to be realistic than sadistic.
 
Kuongoza watu unatakiwa uwe na vision pamoja na mission.
Sio ndiyo tu kwenye kila jambo?
Una tupa hofu hata sisi tuliopo chini yako.
Rais Bendera?
Mawaziri Bendera?
Wabunge Bendera?
Madiwani Bendera?
At the end of the day, a whole system is Bendera.
Hakika atulinde Mola na aiweke salama kwenye mikono salama Tanzania yetu.
 
Huyu ajuza si ajabu sasa anaendeshwa na msoga.
 
Umeshasema Prof Ndlichako....hiyo Prof tayari inaonyesha utofauti
 
Naked truth
 
oh my goodness!

Pray for her, ili machawa wanaomzunguka waache kumpotosha.
 
Ndalichako si ndio alisimamia maamuzi dhabiti kuhusu mambo ya big result now, Kikwete akamtimua, jiwe akamrudisha, Ndalichako ni chuma cha pua, japo sytem ipo corrupted some how anaweza kubweka bweka
eeeeh????? kweli??? Mngekuwa kwenye kamati ya kuchagua viongozi mngetulisha matango pori, na yote ni ukanda tu unawasumbua bure kabisa.
 
Ndalichako is just a trash, i am justing wondering how did we had her in a Very sensitive docket like Education, I started ignoring her since she was in Nacte, She did alot of messy there
 
Ndalichako is just a trash, i am justing wondering how did we had her in a Very sensitive docket like Education, I started ignoring her since she was in Nacte, She did alot of messy there
Yes, of course.
 
Yaani Rais Samia, kaachwa mbali kiuongozi na Dorothy gwajima, ndalichako, Kairuki, Ummy, jenister muhagama, yaani Samia kwa wanawake huko ccm ndio kama mwenye uwezo mdogo sana
Heri mimi sijasema.
 
Ndalichako is just a trash, i am justing wondering how did we had her in a Very sensitive docket like Education, I started ignoring her since she was in Nacte, She did alot of messy there
Ndalichako aliwahi kufanya kazi NACTE ?
 
Ndalichako is just a trash, i am justing wondering how did we had her in a Very sensitive docket like Education, I started ignoring her since she was in Nacte, She did alot of messy there
Kitu hujui acha! NACTE alikuwa Nkwera bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…