Event: Nyama Choma, Nyama Choma, Nyama Choma!!!

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Posts
13,416
Reaction score
12,618
Kutakuwa na Nyama Choma katika viwanja vya Posta Kijitonyama Jumamosi Tar 16 November 2013, tukio hili litaenda sambamba na muziki, michezo ya watoto, vinywaji, michezo kama pool pia itakuwepo.

Kuna mabanda zaidi ya 15 ya nyama, bia na vinywaji aina zote (Bia local na imported, hard drinks, soda, juice, maji nk).

Michezo ya watoto yoote.

Inaanza mchana saa sita mpaka majogoo, ila watoto mwisho ni saa 12 jioni. Ni tukio kubwa kwa weekend hiyo, tusikose.
 
hizo nyama mnachomesha bure au ni biashara?
 
Back
Top Bottom