Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho MkuuWanacheza lini hao jamaa?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Mkuu wewe ni Mgeni kwenye hili jukwaa.Mtu mzima ongea vitu ambavyo una uhakika navyo sio unaongea tu ili mradi umeongea
Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
Kenya kuna viwanja vya ndondo tu!sasa kama makao makuu ya sportpesa yapo Kenya kwanini Everton waje Tz??
hapo utajua ipi ni nchi ya hovyo hovyo
Kwa nini hao wakenya waje kucheza Tz na sio huko kenya?? Watanunua vitu vya Tz, Tz itafaidika haijalishi wao ni wa huko as long as wamekuja huku, wametufuata vidume wa kanda hii.Hao Everton wanacheza na timu toka wapi? akili kichwani
sasa kama makao makuu ya sportpesa yapo Kenya kwanini Everton waje Tz??
hapo utajua ipi ni nchi ya hovyo hovyo
Hahaha Hawana Uwanja ndugusasa kama makao makuu ya sportpesa yapo Kenya kwanini Everton waje Tz??
hapo utajua ipi ni nchi ya hovyo hovyo