Duh ukisikia kipofu kaona mwezi ndo hii
Tunataka tufanye kama leceicter
Kama kikosi wanacho kwanini hamna ubingwa mbona huelewekiAah! Wapi japo kikosi mnacho na kocha pia.
Usajili wa James Rodriguez ni bingo sana ila swala la ubingwa hapana.
Leicester zali la mentali lilitokea japo mtasumbua sana huu msimu kufa na kupona kikosi mnacho.