Everton fc special thread

Everton fc special thread

Attachments

  • Screenshot_20201010-192903.png
    Screenshot_20201010-192903.png
    230.8 KB · Views: 1
Nguvu ya soda tu ! Hizi timu ndogo kufanya vzr mwanzo mwa msimu Ni kawaida Sana ,

Kwanza hawana depth
Pili wachezaji muhimu wakiumia wataanza kupoteana
!!!!

Sir AF huwa anasema tukutane Dec , hapo ndo mbivu na mbichi zinaeleweka , hapo unakuta ligi imeshachanganya !!

Anyway, Carlo Ni big brain , hongera kwake , everton hii ambayo ilitaka kuangamia chini ya wahuni wale martines na Marco Silva now ipo juu , Tena kwa sajili chache tu Kama tatu au nne !!! (James, docour, Allan )
 
haahhaa liva kuku wamekimbia na chupi mkononi hukuuu
 
Everton watakua tomu kibwa epl na uefa..jiandaeni..arsenal hawakutaka kimiuzia hisa usmanov kisa sijui dini au nchi anayotoka!!!?...everton itakua kubwa kuliko arsenal..jamaa anaweka mzigo bna
 
James Rodriguez anamchango mkubwa kipindi hiki
 
Nionavyo mimi. Everton wana project ambayo iko serious sana. Wao pamoja na timu yangu Spurs. Hivyo naweza kuwapa matumaini wana-Everton kuwa wanaweza kuwa wa pili nyuma ya Spurs mwishoni mwa msimu.
 
Back
Top Bottom