Everton sasa kucheza na Simba

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
-Kuna uwezekano klabu ya Eveton ikacheza na klabu ya Simba badala ya bingwa wa mchuano ya Sportpesa Super Cup 2019 kutokana na timu zote ambazo zimeingia Fainal hazidhaminiwi na kampuni hilo. Bandari, Kariobangi Sharks na Mbao zilikuwa timu mwalikwa kwenye michuano hiyo. Huku timu tano Simba, Yanga, Singida kutoka Tanzania, Gor Mahia na AFC Leopards kutoka Kenya ndio vilabu ambavyo zinadhaminiwa na Sportpesa.
 
We ota tu ndoto za jioni
 
Simba hastahili hata kucheza na Kauzu Fc.
 
akili ya Mikia FC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…