Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
-Kuna uwezekano klabu ya Eveton ikacheza na klabu ya Simba badala ya bingwa wa mchuano ya Sportpesa Super Cup 2019 kutokana na timu zote ambazo zimeingia Fainal hazidhaminiwi na kampuni hilo. Bandari, Kariobangi Sharks na Mbao zilikuwa timu mwalikwa kwenye michuano hiyo. Huku timu tano Simba, Yanga, Singida kutoka Tanzania, Gor Mahia na AFC Leopards kutoka Kenya ndio vilabu ambavyo zinadhaminiwa na Sportpesa.