Everton, West Ham na Burnley zamgombania Mbwana Samatta

Kwa kuweka kumbukumbu sawa, Everton ni timu ambayo iliwaamini na kuwapa nafasi makinda kibao, na mpaka sasa wanatesa au walitesa vilivyo;
1. Wayne Rooney.. Alitoka Everton akaenda kusumbua Man U.
2. Lukaku.. Alitoka Everton akaenda kufanya yake Man U.
3. John Stones.. Alitoka Everton sasa anasumbua Man City
4. Ross Barkley.. Alitoka Everton sasa anasumbua Chelsea ya mvuta fegi Sarri.
5. Joe Hart.. Alitoka Everton akaenda tesa sana Man City
6. Garry Cahill.. Alitoka Everton akaenda wika vilivyo Chelsea
.
.
.
Kwa kifupi Mkuu list ni ndefu sana.. Ila naamini anayefuata ni;
.
.
59. Mbwana Samatta 'Former Simba SC player'.. Alienda Everton akawika sana na sasa anamuweka benchi Benzema hapa Real Madrid.
 
Everton sio type yake, ataharibikia bench. Richardlison ni straiker namba moja. Kama ana choice ya kuchagua aende Barnley.
Richalison sio natural striker. Ni winger wa kushoto. Winger ya kulia walcott, namba 10 sigurdsso. Game ya juzi alianza kama false 9 sababu ya poor form ya cenk tosun na forwards wa everton kwa ujumla. Natural strikers wa everton sahivi ni tosun, oumar niasse na dominic calvert lewin. Wote wa kawaida sana
 
Hongera akapige hela..Ila kwenye timu ya Taifa anazingua wakati mwingine kama mechi ya Uganda..mchoyo sana kuachia mpira..watu tunataka kwenda AFCON tumechoka kugawana timu za nchi za wenzetu...
 
 
Sasa wewe E and E hata kuniquote vizuri huwezi, unategemea aende popote kwa ajili ya hela tu ila hamna namba, nani masikini wa fikra kati ya mimi na wewe?
 
Nahodha wa Taifa Stars anasakwa kwa udi na uvumba na timu mbali mbali za ligi kuu ya England.
Source BBC Dira ya Dunia
 
sasa hivi ma straiker aina ya samatta wanatafutwa sana huko ulaya... yaani straiker anaejua kufocus golini tuu... muda utaongea...

"me ndo bwanaake na dem wangu "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…