Everton, West Ham na Burnley zamgombania Mbwana Samatta

Hongera mkuu, nimekupa respect kwa kufatilia mpira
 
Hivi Mbwana Samatta bado ni kinda ?
 
Hongera mkuu, nimekupa respect kwa kufatilia mpira
Shukrani sana mkuu. Yote ni kwa sababu ya Epl Fantasy. Mtu unajikuta unacheki games hata za timu ndogo ili kufanya scouting ya wachezaji
 
Germany awezi kuleshuguli pevu..unatafuta MPIRA UK ukijipanga MBELE ukosi magoli ya maana nimjuavyo NDOGO..German unatafuta MPIRA unaenda naombelee
Tulia basi uandike vitu vinavyoeleweka
 
Kuna clause zinakuwa ktk mikataba ya wachezaji, parent timu ya awali hufaidika na uuzwaji wa mchezaji. Sio Simba tu. Mazembe wana shea yao, kwa simba yaweza kuwa ndogo ila si haba.
Inakuwaje hiyo yani Genk wamuuze, halafu simba wapate mgao sio tp mazembe?
Watakaofaidika zaidi ni kile kituo kilichomlea cha Kimbangulile mbagala
 
Wakimchukua basi watakuwa wanekula big loss
 
Mimi nashauri Samatta aende akaokoe jahazi pale Manyumbu Yunaited.

Ni bora Samatta kuliko Rukarukatu
 
Nasikia kule England ukiwa unatoka katka nchi ambayo viwango vya ubora vya FIFA ni vya mwisho mfano tz basi huwezi sajiliwa Kule sasa hii wadau imekaaje Kama hii habari ni ya Kweli?
 
Nasikia kule England ukiwa unatoka katka nchi ambayo viwango vya ubora vya FIFA ni vya mwisho mfano tz basi huwezi sajiliwa Kule sasa hii wadau imekaaje Kama hii habari ni ya Kweli?
VP kuhusu Victor wanyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…