Everton yakatwa pointi 10 kwa ukiukwaji wa Kanuni za Fedha za Premier League

Everton yakatwa pointi 10 kwa ukiukwaji wa Kanuni za Fedha za Premier League

Everton hawashuki na mashabiki zao wanashauri viongozi wasikate rufaa maana wakishindwa points za kukatwa zinakuwa 15 na siyo 10 tena, hao majamaa hawashuki ni wazuri kuliko hao wa mwisho kina Sheffield, Luton au burnley
Luton ni wavivu ? Liverpool kidogo afe Manchester mwenyewe aliponea chupuchupu
 
Ata Mimi ningeshtuka... point 14 wana punguza 10... una bakia na 4

Ma bosi wa Everton mna haki ya kushtuka
Utofauti wao Everton na Ile ya Man City ni nini!?? Mbona City hakufanyiwa hivi!??
 
Asante kwa ushauri wako, walirudishiwa wakakatwa tena but waliappeal so sikujua kama walishinda
Walirudishiwa ndiyomaana hawakuwa na gape lolote tena la points nyingi kabla na baada ya kukatwa na kurudishiwa points zao 15 na kubakia top 4 kimsimamo kwenye Serie A.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hawakushinda maana wangeshinda wangekuwa zao ligi ya mabingwa muda
Somb hii link upate ushahidi na uende na wakati

Screenshot_2023-11-22-06-27-13-56_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom