Every 15 Secs, a child in Africa is born with HIV

Sikushindwa ku google kutafuta maana ya kirusi. Nilitaka uniambie wewe kwa uelewa wako, maana hata ukimwi utanipa maana kama hiyo ya kirusi. Kama umeweza kukosoa maana ya HIV ilibidi ukosoe na maana ya kirusi. Fafanua kwa lugha nyepesi kwa manufaa ya wote maana umesema unataka kuelimisha
 
........Nilitaka uniambie wewe kwa uelewa wako, .....

Wapi kwenye swali lako la mwanzo ulisema unataka nikwambie kwa uelewa wangu?Au unafikiri mimi najua kilichopo kwenye mawazo yako bila wewe kukisema?

Sikushindwa ku google kutafuta maana ya kirusi.......

Ishara ya mtu asiye na nia ya kuelewa.Nikishatambua hivyo huwa sipotezi muda wangu kujadiliana.

........ Kama umeweza kukosoa maana ya HIV ilibidi ukosoe na maana ya kirusi. Fafanua kwa lugha nyepesi kwa manufaa ya wote maana umesema unataka kuelimisha

Huna lugha ya ukarimu yenye kuonesha nia ya kutaka kuelewa.Utanisamehe kwa hilo,kwa heri.
 

unataka kujikuza bure tu. kwa heri. wewe unaponda mambo ambayo unayafanyia reference? kifupi huwezi kuwa mwalimu. afterall huniandikii mimi maana wanaofuafuatilia ni wengi
 
Deception nimejaribu kufuatilia comments zako bado cjakuelewa japo natamani sana nikuelewe

Tafadhar anzisha thread yako ili watz tujue kuhusu AIDS/HIV na vinarelate vip na biashara na siasa as you alwayz sayz. .

Natanguliza shukrani mkuu
 
Deception nimejaribu kufuatilia comments zako bado cjakuelewa japo natamani sana nikuelewe

Tafadhar anzisha thread yako ili watz tujue kuhusu AIDS/HIV na vinarelate vip na biashara na siasa as you alwayz sayz. .

Natanguliza shukrani mkuu

amaizing,niliwahi kufikiria kuanzisha thread yangu lakini kuna mambo yamenirudisha nyuma kidogo.Baadhi ya mambo hayo ni kama vile;
1.Mada hii ni pana sana hivyo unahitaji kutumia muda mwingi kuiandaa,kama ningekuwa na uhakika kwamba JF members wamekomaa kimijadala,yaani hupenda kudadisi kabla ya kupinga ningejitoa muda wangu kuianzisha hiyo thread.Lakini wana JF wengi hawako hivyo.
2.Kuna watu walishaanzisha thread kama hizi lakini JF members wengi hawakutilia maanani na waliona ni mada ya kawaida sana ilihali mada yenyewe haina hata chembe ya uongo,ni ukweli mtupu,lakini wana JF wengi waliishia kupinga tu bila kudadisi au kuuliza.Hivyo hao jamaa walikata tamaa na siwaoni tena hata kuchangia kwenye mada za wengine kuhusu jambo hili,nimebaki mimi tu naendeleza jahazi hili la ukombozi.
3.Nimeona nitumie nguvu ndogo kuelimisha watu wachache walio tayari kwa kutumia post zangu ambapo wana JF walio na dukuduku au maswali na wenye nia ya kuelewa na si kupinga wangeniuliza maswali ambayo wanaona yana utata nami ningeyajibu kwa kutumia evidence mbalimbali.

Note
Kuepuka vurugu na watu wenye attitude za kupinga pasipo kudadisi huwa natumia zaidi PM.Sasa hivi watu waliosoma posts zangu na kuzielewa huwa wanani PM nami huwa nawapa elimu kubwa ambayo hawajawahi kuisikia,hadi sasa wengi wako huru na uongo huu wa karne.

Hivyo basi,kama wewe pia una nia ya kuelewa ukweli wa mambo haya ili ujikinge wewe na ndugu zako,basi unaweza kunifuata PM.Utajua mambo mengi zaidi ya hili,kama vile;

1.Tiba za kansa ambazo hatukutakiwa tuzijue na ni proved kwamba zinatibu kansa yeyote.
2.Tiba za kisukari
3.Ukweli kuhusu bangi ambao tumefichwa na hatukutakiwa tuujue
nk.

Karibu PM kama una nia hiyo.Aksante.
 
Takwimu za uongo kabisa, kwa iyo kila dk watoto wanne wanazaliwa na ukimwi, kila saa watoto 240, kila siku watoto 5760 na kila mwezi 172800 wanazaliwa na vvu?uongo uliopitiliza
 
Watu wamesha kuwa wengi kuliko madhingira so ngoja tupungue pungue
 
Deception unafanya kosa kubwa sana kama una nia ya kuwapa watu mwangaza kisha unasita kisa kuhofia hoja za watu. mada ikiwa hot lazima ipate wachangiaji wa kila hali. huwezi kukwepa. pia nashauri ukishaanzisha mada utaongea na invisible iwekwe sticky.

kuwajibu wachache kwenye pm si haki. unamjua jamaa fulani anaitwa hutaki unaacha? yeye humwaga info kisha kina sisi tunahangaika nazo, so tafadhali weka data hadharani bila kuhofia mtu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Wallet nimekuelewa sana,hata mimi najua nimefanya kosa na pia inaniuma kufanya hivyo kwa kuwa kuna watu wenye nia ya kuelewa nawanyima nafasi hii.Lakini pia kuna nafasi nyingine PM,nimetumia hii njia kama chujio kutenga wenye nia na wasio na nia.Pia nafasi nyingine ipo katika thread nyingine,watu wanaweza kufuatilia threads nyingine wakanikuta huko naeleza mambo haya haya.Mimi nimeshiriki mijadala sana,na naelewa nini maana ya mijadala,na ili mijadala iwe na faida inabidi iweje na wanaoshiri waweje.Humu JF nimepitia forums/majukwaa mengi tu,na nimeshaona wapi kwa kuingia na wapi si kwa kuingia kutokana na aina ya watu ninaowakuta.
Fahamu pia mimi siogopi kupingwa kwenye mjadala,kwa kuwa kupingwa ni moja ya vitu vinavyoendeleza mijadala na kuibua mambo mapya,kupingana ndio mjadala wenyewe.Lakini kuna style ya upingaji,sio kila kupinga kunafanana.Kuna upingaji mwingine unakwamisha na kupotosha wengine kubaini ukweli.Sisi nchi zinazoendelea bado hatujui mijadala ikoje na inatakiwa iwe vipi.Watu wanazunguzia hisia tu bila uthibitisho,wanagonganisha hisia kwa hisia na kuna wakati hufikia mpaka hutukanana kwa sababu mmoja kapinga hisia ya mwingine.Mimi napenda kwenda kwa kutumia evidence.Nikisema naweza kutengeneza mafuta ya diesel kutoka kwenye bangi halafu mtu akapinga kwa hoja anazozijua yeye,mimi nitampa evidence aidha tutakutana nimuoneshe au nitampa sayansi yake.Hivi ndivyo jamii zote zinavyobadilika kiuelewa.Vinginevyo tutaishia na mabishano ya vijiwe vya kahawa ambapo elimu ya watu haibadiliki kila kukicha zaidi ya fitina tu.

Kuna threads nyingi naelezea mambo haya,kwa sasa niko hapa;
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...wenye-ukimwi-tena-peku-na-asipate-ukimwi.html
 
kwa muktadha huo nimekupata ndugu. cha msingi kuna majukwaa husika kama hili na la sayansi na pia la biashara na uchumi. kwingine ni changamsha damu zaidi. tatizo ndo hivyo kwamba majukwaa ya kiweledi hayatembelewi sana. pia yawezekana mada/post zako ziko kisayansi sana na mazingira yetu hayatoi fursa kwa implementation ya kile kinachojadiliwa hivyo kuishia hewani, mfano hilo suala la kutengeneza diesel from bangi. hiyo mada ya ukimwi nitapita huko nami nijionee
 

Karibu,na kuwa huru kuuliza maswali ya kutosha pale ambapo unadhani kuna utata.
 
Ndugu deception nimefuatilia hii

www.fadhilipaulo.com >ukweli-kuhusu-VVU-UKIMWI

Nmepata mwanga asilimia 40...nasubiri uje unieleweshe zaidi

Hongera kwa kujiongeza na kuwa mdadisi,hii itakusaidia sana kujua ukweli uliojificha kwenye masuala mengi sana zaidi ya hili.Nadhani sasa waweza kunielewa niliposema kwamba mada hii ni ndefu sana,umeona jinsi Fadhili alivyoweka karibu kila kitu jinsi mada ilivyo ndefu,ni watu wachache sana wanaweza kuisoma mpaka mwisho,na ndio maana nimeamua kutoa dokezo tu halafu watu waulize maswali ambayo wanaona yana utata.Ukiisoma yote mada ya Fadhili utapata majibu yote,usiwe na haraka,fuatilia taratibu,kama utakwama basi waweza kuniuliza swali lolote ambalo bado unatilia shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…