Deception nimejaribu kufuatilia comments zako bado cjakuelewa japo natamani sana nikuelewe
Tafadhar anzisha thread yako ili watz tujue kuhusu AIDS/HIV na vinarelate vip na biashara na siasa as you alwayz sayz. .
Natanguliza shukrani mkuu
amaizing,niliwahi kufikiria kuanzisha thread yangu lakini kuna mambo yamenirudisha nyuma kidogo.Baadhi ya mambo hayo ni kama vile;
1.Mada hii ni pana sana hivyo unahitaji kutumia muda mwingi kuiandaa,kama ningekuwa na uhakika kwamba JF members wamekomaa kimijadala,yaani hupenda kudadisi kabla ya kupinga ningejitoa muda wangu kuianzisha hiyo thread.Lakini wana JF wengi hawako hivyo.
2.Kuna watu walishaanzisha thread kama hizi lakini JF members wengi hawakutilia maanani na waliona ni mada ya kawaida sana ilihali mada yenyewe haina hata chembe ya uongo,ni ukweli mtupu,lakini wana JF wengi waliishia kupinga tu bila kudadisi au kuuliza.Hivyo hao jamaa walikata tamaa na siwaoni tena hata kuchangia kwenye mada za wengine kuhusu jambo hili,nimebaki mimi tu naendeleza jahazi hili la ukombozi.
3.Nimeona nitumie nguvu ndogo kuelimisha watu wachache walio tayari kwa kutumia post zangu ambapo wana JF walio na dukuduku au maswali na wenye nia ya kuelewa na si kupinga wangeniuliza maswali ambayo wanaona yana utata nami ningeyajibu kwa kutumia evidence mbalimbali.
Note
Kuepuka vurugu na watu wenye attitude za kupinga pasipo kudadisi huwa natumia zaidi PM.Sasa hivi watu waliosoma posts zangu na kuzielewa huwa wanani PM nami huwa nawapa elimu kubwa ambayo hawajawahi kuisikia,hadi sasa wengi wako huru na uongo huu wa karne.
Hivyo basi,kama wewe pia una nia ya kuelewa ukweli wa mambo haya ili ujikinge wewe na ndugu zako,basi unaweza kunifuata PM.Utajua mambo mengi zaidi ya hili,kama vile;
1.Tiba za kansa ambazo hatukutakiwa tuzijue na ni proved kwamba zinatibu kansa yeyote.
2.Tiba za kisukari
3.Ukweli kuhusu bangi ambao tumefichwa na hatukutakiwa tuujue
nk.
Karibu PM kama una nia hiyo.Aksante.