joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Hii ndio inathibitisha jinsi viongozi wa Kenya wanavyokurupuka katika maamuzi yao, hovyo sana hawa jamaa, sasa wanaanza kutafuta maridhiano baada ya kuvuruga kila kitu, kwanini wasingewasiliana na Tanzania kabla ya kutangaza hiyo orodha?