Evidence: Sitti Mtemvu, Vua taji la wa Tanzania

Evidence: Sitti Mtemvu, Vua taji la wa Tanzania

Mmmmmmhhhhhh ya

kweli haya?
Aite waandishi WA habari

"Kwa mujibu wa chanzo changu cha karibu. Habari hizi ni za kweli 100%.... Huyu ni Sitti mwenyewe kaposti. Yes amelivua taji... Process haikutakiwa Kuwa Hivi. Kamati ya Miss TAnzania ilimwambia awaandie barua ya kukubali kuvua taji yeye kwa hasira akaenda kuposti facebook hiyo message..... Anyways, hata kama hajaomba msamaha ........... adhabu keshaipata na ataendelea kuipata kwa miaka mingi ijayo... Hii aibu atatembea nayo muda mrefu sana so ................. ili mradi taji limerudi naamini mshindi waE Pili atavishwa taji hilo some time next week ."

--- Toka kwa mdau instagram
 
Naona she is just buying time. Mwisho wa siku ataachia taji kwa aibu. Anaweza kunywa sumu, inabidi apate uangalizi muda wote.

Akinywa sumu nitaweka shida zangu chini kwa muda na kunyoosha mikono juu Kwa shangwe!
 
Nilikuwa nimetaka kujisahaulisha ila duh siwezi, naona huyu Sitti bado kashikilia taji, mdada weye vipi? hautaki achia taji letu wa Tanzania?
 
Uyu mama si aachie haya mambo tu akafanye yake naona anazidi umbuka sasa na familia yake
 
Back
Top Bottom