Evidence that kenya was supporting renamo and apartheid south africa.

Evidence that kenya was supporting renamo and apartheid south africa.

Aise hawa majirani hawa.Kama ni kweli hatuna budi kujitoa for good EAC, rwanda ug na m23, kenya tena kumbe kishamsupport renamo, jwtz wakadeal nao wakakimbia, majuzi tena hapa hao renamo walilianzisha msumbiji, nahisi uhuru kapokea mikoba ya moi.Danger.
Mkuu mimi nilijua tangu mwanzo kwamba kuhibuka kwa RENANO ghafla kuna kitu behind, sikuona ajabu walipo pata passport ya Kenya aliyo kuwa anatumia Kiongozi wa RENAMO - hii ni gand plan ya akina triple K wanajua fika kwamba majeshi yetu hayawezi kukaa kimya kama Msumbiji itavurugwa kijeshi, wala siwezi kuona ajabu kama awawezi kumshauri Rais wa Malawi naye anzishe vurumai fulani achokoze Tanzania na wao wamshauri kwamba watamsaidia ku-beef up jeshi lake kimya kimya, hawa jamaa ni hatari kweli kweli katika kanda yetu hii ya Africa Mashariki, wanacho tafuta ni kujaribu kuvurugaTaifa letu kwa njia yoyote hile. Mawazo yao wanafikiri majeshi ya Tanzania yatakuwa na front nyingi za ku-deal nazo kijeshi kiasi kwamba tutashidwa kulinda Taifa letu kikamilifu hivyo kuwapa mwanya wa kupenyeza waharifu nchini, hawapendi msimamo wa Tanzania hata kidogo kutokana na kuwashtukiwa na mipango yao ya siri ya kutaka kupora aridhi yetu kwa hila za the so-called federation, wengine wana tamaa za ziada za kutaka wawe Rais wa kwanza wa Africa Mashariki ili watimize grandplan zao za kuwatawala wengine. Jamaa hawa wasipo pewa kibano na nchi za SADCC na International Community watakuja kuzua vita mbaya sana katika kanda yetu hii, muda wa ku-deal nao na kuwambia ukweli is now not later.
 
Absolutely. Ndio maana huwa nahoji sana 'moral authority' ya Kenya kuongelea mambo ya ushirikiano. Historia inaonyesha Kenya imekuwa against mambo mengi ya kibidnadamu.
Mkuu kama UK anaweza kuwa na ubavu wa kusema bila aibu eti hana muda wa kwenda kujibu mashtaka the Hague kutokana na kushughulikia suala la Magaidi walio uwa Wakenya na Wageni ambao idadi yao hazidi 67!! Hapa Kenyatta anajitia kuvaria njuga saula hilo la Westgate, kasahau Wakenya wenzake elfu moja na kitu walio kufa kwenye machafuko ya kisiasa na Wakenya wengine zaidi ya nusu millioni wakapoteza makazi yao mpaka leo! Najiuliza, hivi Rais huyo wa Kenya anahangahika na wahanga wa Westgate na kusahau wa Rift Valley kutokana na kupoteza jamaa wake wa damu au kwa kuwa kuna wazungu walio poteza maisha yao!! Viongozi wa aina hiyo unaweza kusema wana chembe ya morals zozote kweli? Kitu kingine Serikali yao ya awamu ya kwanza na pili hazikuwahi kujishughulisha/kuchangia chochote katika harakati za ukombozi za Wafrika wenzetu kusini mwa Afrika, actually wao walikuwa wana-support wanzungu na wapinga ukombozi ili waendelee kuwatawala na kuwatesa Wafrica wenzao, cha ajabu walipo pata habari kwamba nchi hizo zimekwisha jikomboa, Wakenya bila ya aibu ndio walikuwa wa kwanza kutaka kwenda kuwekeza katika nchi hizo, wako makini sana kutaka kuvuna wasicho panda!! Leo hii nikiona wanawakumbatia Wachina naona ajabu sana, siku za nyuma walikuwa wanawabeza beza Wachina eti wanaishi behind Iron Curtains - siku hizi uwezi kusakia wanalizungumza hilo, wako kimya kabisa - sikumbuki vizuri kama Kenya ilishiriki kuipigia kura China ijiunge na Umoja wa Mataifa si ajabu wali-abstain. Nimalizie kwa kusema labda kama wenzetu wamebadirika siku za karibuni kwa kuanza kujali mambo mengi ya kibinadamu- binafsi dalili hizo sizioni, ninacho kiona mimi ni wao ku-emulate imani za Kimerikani 2 the letter, wao kama ilivyo Merikani hawana rafiki wa kudumu badala yake wana MASLAHI ya KUDUMU.
 
..only if u knew what kind of an organization Renamo was.

..the regime in Kenya imemwaga damu ya Waafrika wengi sana.

..Tanzania lost more than 100 soldiers in an effort to stabilize Mozambique which was threatened by South Africa, Rhodesia, and their African collaborators in the name of Renamo and Kenya.

..connecting the dots, now we understand the origins of the Kenya's negative campaign against SADC and Southern Africa.

cc Geza Ulole, Mungi, Tuko

historically, kenya has played a crucial role in promoting Africa's peace process, given the fact it was not in SADC but managed to create the environment where negotiations can be done...the war was escalated when SADC frontline states decided to settle for arms to deal with the mozambican civil war and most of the 'liberation' struggle and material support for Renamo and Frelimo was coming from the was the eastern blocks out of africa. I do not know why they are out of this discussion. kenya's intervention led to the peace accord that settled the situation. Same to south sudan peace accord.
you cannot downplay the role of the peace beacon in EAC because eventually, kenya did not turn around to take advantage and blackmail the situation the way western peace brokers do.
 
How low can one get in order to get even with Kenya. Most Kenyans don't even know that there is a bloc called SADC. Please remind me what has SADC ever done/ Achieved in all the years it has been in existence. Is there a success/Event associated with SADC?
We trade more with SADC members than any EA member

A: Kenya's top ten Export countries (2012)
1. Uganda
2. UK
3. Tanzania ($420.2mil out of $5169.1 total Kenya's exports)
4. Nertherlands
5. USA
6. UAE
7. Sudan
8. Egypt
9. Pakistan
10. Somalia

B. Rwanda's top ten export countries (2012)
1. Tanzania ($164.8 out of $505 total world's exports)
2. DRC
3. Kenya
4. Uganda
5. Sudan
6. Burundi
7. Switzerland
8. USA
9. Belgium
10. France

C: Uganda's Top Ten export countries (2012)
1. Sudan
2. Kenya
3. DRC
4.Rwanda
5. UAE
6. Switzerland7
7. Netherlands
9. German
10. UK

D: Tanzania's Top ten export countries in $ value (2012)
1. South Africa
2. Switzerland
3. China
4. India
5. Kenya ($349.7 out of 5547.2 world's exports)
6. Japan
7. German
8. DRC
9. Belgium
10. Netherlands
Source: UN COMTRADE
 
..only if u knew what kind of an organization Renamo was.

..the regime in Kenya imemwaga damu ya Waafrika wengi sana.

..Tanzania lost more than 100 soldiers in an effort to stabilize Mozambique which was threatened by South Africa, Rhodesia, and their African collaborators in the name of Renamo and Kenya.

..connecting the dots, now we understand the origins of the Kenya's negative campaign against SADC and Southern Africa.

cc Geza Ulole, Mungi, Tuko

Tanzania ni mwamba mkuu wa afrika pamoja na usaliti wa majirani na baadhi ya marafiki zetu wa karibu bado ukombozi uliendela.Na sasa ukombozi utaendelea
 
Thanks brother Geza for this useful info...Now Nyang'au Republic must swallow this hard truth. They think we're living in 1970's world.
 
historically, kenya has played a crucial role in promoting Africa's peace process, given the fact it was not in SADC but managed to create the environment where negotiations can be done...the war was escalated when SADC frontline states decided to settle for arms to deal with the mozambican civil war and most of the 'liberation' struggle and material support for Renamo and Frelimo was coming from the was the eastern blocks out of africa. I do not know why they are out of this discussion. kenya's intervention led to the peace accord that settled the situation. Same to south sudan peace accord.
you cannot downplay the role of the peace beacon in EAC because eventually, kenya did not turn around to take advantage and blackmail the situation the way western peace brokers do.

..Kenya played the role of a sellout.

..APARTHEID South Africa and RHODESIANS are the ones who helped to establish RENAMO.

..where did u get the information that Renamo was getting support frm any country in the Eastern block??

..Again, go back and dig a little bit about RENAMO and u will realize that the regime in KENYA sided with EVIL during the struggle for the independence of Southern Africa.
 
after the peace accord renamo became a political party, but before they were terrorists, that tz was fighting with arms reciveing support from china, dar port being the conduit. say that apartheid was the key to all this

while SADC frontline states were already engaged in a military solution, be concious that kenya wanted only to act as the midwife of the peace accord, simmilar to the one midwifed for SSudan in naivasha that i must say reaped fruit.
 
Kabaridi,

..soma hii article.

..the author is saying that Kenya did not provide adequate support to ANC during the dark days of Apartheid terror. that is a diplomatic way to infer that Kenya was backstabbing ANC during their struggle for independence.

[h=2]Zuma seeks stronger ties with Kenya[/h]
PRESIDENT Jacob Zuma has intensified his efforts to smooth relations with Kenya, strained since the apartheid era when the African National Congress (ANC) believed the East African state did not provide adequate support to the liberation movement.

After attending Kenyan President Uhuru Kenyatta's inauguration last month, Mr Zuma held talks with the Kenyan leader on the margins of the World Economic Forum in Cape Town last week, where discussions centred on bilateral issues - a diplomatic euphemism for ironing out issues of contention.
The talks came after Mr Zuma had made similar overtures to Nigeria, where South African business has headed for 20 years, but where sound political relations did not always follow. Nigerian President Goodluck Jonathan made his first official visit to South Africa last week, after Mr Zuma's visit to Abuja last month.
Former president Thabo Mbeki did not make a state visit to Kenya during his term, and Mr Zuma had not been to Kenya on a state or official visit since he took office in 2009. This had dismayed Kenya's political leaders as South African leaders skirted around Kenya while visiting Tanzania, Uganda, Rwanda or Ethiopia.

source: Zuma seeks stronger ties with Kenya | African News | BDlive

cc Jammu Africa, Ab-Titchaz, Dhuks
 
Last edited by a moderator:
tz currently is expending cries of foul and feels isolated as EAC players strengthen the bloc. it shows TZ needs EAC than EAC needs tz. As she seeks to engage burundi to create their parrallel community bloc what is most shocking to tz is the hunter feels the hunted.....all along she has created the environment for her own failure by bieng stubborn in fasttracking the EAC with willing member states....
 
can raila midwife the situation, we will wait and see
 
Kabaridi,

..soma hii article.

..the author is saying that Kenya did not provide adequate support to ANC during the dark days of Apartheid terror. that is a diplomatic way to infer that Kenya was backstabbing ANC during their struggle for independence.

source: Zuma seeks stronger ties with Kenya | African News | BDlive

cc Jammu Africa, Ab-Titchaz, Dhuks

when it comes to apartheid, it was a conflict for the arable african lands and you realize it is the united states that has been supporting south africa/ all along until 1994 when it received express permission and instructions from the same US to release nelson Mandela and engage in a constructive social economic path. S africans suffered because they had no weapons of choice to fight against established rhodesians who had military might/capabilties

in those years of struggle against apartheid, the political situation in kenya was just emerging from the chains of ruthless british colonial decadence, unable to defend herself many kenyans lost their lives in systematic genocides and bloodshed. Tanzanians on the other hand did not die and shed from colonial rule and it would have been easier for the people of tz to engage in a miltary solution against apartheid.
 
Back
Top Bottom