Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Hellow wadau wa Jukwaa la Elimu.
Naomba kujua timetable ya watu wanaosoma Evening Masters Programme CoICT au College yoyote ya science hapo UDSM.
Masomo huanza saa ngapi na kuisha saa ngapi na kwa siku zipi na zipi?
Nataka kujua kama naweza mudu kufanya kazi zangu afu nkaendelea na hizo evening programmes.
Nimejaribu ku search kwenye Sites za colleges za UDSM sijaona zaidi ya tuition fee, entry qualifications.
Natanguliza Shukrani.
Asanteni.
Edit:
Samahani pia kwa typo kwenye heading