Evolution of CCM

Evolution of CCM

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
62,197
Reaction score
128,160
2c01f4785dbb1614932fa3c057da1750.jpg
 
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
HIVI CCM ikitoka nani mmbadala wake? EBU KIANGALIE VIZURI CHAMA kama CHADOMO.... nani atakuwa rais JIBU ni LOWASA, nani atakuwa waziri Mkuu jibu ni SUMAI....nani atakuwa waziri wa mambo ya ndani JIBU ni lau MASHA... nani atakuwa wa Fedha JIBU ni MBOWE.... Mawaziri wengine ni kama BULAYA, MDEE, NASARI, MSIGWA, LEMA, TUNDU, MWITA, na wengineyo....hebu fikiria HILI GENGE NDIO LIONGOZE NCHI....WIKI MMOJA TU Nchi ita COLLAPSE!!!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ukweli mtupu
 
HIVI CCM ikitoka nani mmbadala wake? EBU KIANGALIE VIZURI CHAMA kama CHADOMO.... nani atakuwa rais JIBU ni LOWASA, nani atakuwa waziri Mkuu jibu ni SUMAI....nani atakuwa waziri wa mambo ya ndani JIBU ni lau MASHA... nani atakuwa wa Fedha JIBU ni MBOWE.... Mawaziri wengine ni kama BULAYA, MDEE, NASARI, MSIGWA, LEMA, TUNDU, MWITA, na wengineyo....hebu fikiria HILI GENGE NDIO LIONGOZE NCHI....WIKI MMOJA TU Nchi ita COLLAPSE!!!
Umewaza kwa akili zako au ni usukule ulionao?
 
Back
Top Bottom