Darwin, you don't have to say a thing. Lete kwanza ushaidi.
I NEED MY EXHIBITS THAT GOD DOES NOT EXIST.
INAONEKANA UNAMATATIZO YA KUSAHAU
Bredrin, Max. Dem kyant.
Wameshindwa, hawanajibu, hawana maelezo, hawana chochote cha kusema zaidi ya matusi yaliyo jaa kifuani mwao. wamejaribu kubadilisha mada, lakini wewe upo pale pale. Big up Bro. That is the way.
Walete jibu kusaidi utumbo wao.
Fools are Fools. Darwin is a Fool in a foolish belief.
Which Mungu are you talking about? You guys don't believe in GOD. Do you see how FOOLS you GUYS ARE? NOW YOU ARE TALKING ABOUT THE GOD WHO DON'T EXIST.
By just commenting what you comment, you have impugned your belief. I need some ATHEISTS who can stand on their ground, and not these ones who can't even prove and/or support that GOD DOES NOT EXIST.
Huwezi kuniambia GOD does not exist, halafu at the very same time unazungumzia jinsi Mungu ambaye hayupo alivyo leta TEN COMMANDMENTS. YOU MUST BE CRAZZZZZY. MENTALY CRAZY. Am I dealing with incapacitated people or what? I don't get it at all.
Darwin:
Inashangaza sana kusikia kutoka kwako eti leo hii unataka kujua ni lugha gani ilitumika kwenye Tablets of the Covenant. Mungu alitumia lugha gani kwenye tablets.
Kama Mungu kutokana na imani yako hayupo na wala hakuwepo, iweje leo hii unauliza defacto question? How can you ask such a question while consciously knowing that God does not exist? That is what you believe, don't you? How did you come to the conclusion that Un-Existed God did actually give Ten Commadments to Moses?
Secondly, you have to support your belief that God does not exist. I need watertight, concrete, and must be verifiable exhibits from you. It is very imperative that your exhibits are in a verifiables form. No assumptions or examples or stories are permited at any and all time.
Finally, don't try to change the theme here, if you want to discuss about ten commandments, you are most welcome. But start a thread on that, and I will be very happy to teach you about God through the ten commandments. I will give you concrete watertight and verifiable exhibits in each and every reply from me.
I know the language, but this is not a thread for that, and you know that. I will teach you a new language Ketav Ashurit.
Accordinly, by asking such a question, you have consciously, willingly, and knowingly acted wanton disregard, inter-alia, you ipso facto your self in supporting your defacto belief that God does not exist, ad infinitum.
Hana ubavu hata kidogo. Yeye anachojuwa ni kuandika utumbo wa mke wake. Hahah hehehe hiiih
Mirembe itajaa mwaka huu.
I want my proof. Support your bogus belief. Don't tell me about Christianity. I know better than all you fools.
Tell me about non existence of God.
What part of "PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST DON'T YOU UNDERSTAND?"
Am I Speaking GREEK, HEBREW, MAY BE LATIN OR KETAV ASHURIT.
What part of "PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST DON'T YOU UNDERSTAND?"
As for you believing the bible, you should believe that you know nothing, can by no means know gods intentions nor can trust what jesus c. says about himself:
Job 8 : 9 " For we are but from yesterday)and know nothing,"
Isaia 55 : 8 "For my thoughts are not your thoughts, neither are your ways my ways, saith the lord"
St. Shaughn 5 : 31 "If I bear witness of myself, my witness is not true"
POPOBAWA BOOK!!!
Jamaa anaamini kuwa Mungu yupo.
Ujinga wa akili ndio unawasumbua. Angali Darwin anachosema. Utumbo mtupu.
Max, truly you are the Man of God.
Oooops, jamaa kaacha uevolutionist na kuamua kufundisha Biblia.
Let me see if they can answer you Max.
Wel wel wel, they can't.
Hahah ahaha ahaha
Max, I think they don't understand when you say that 'WHAT PART OF ""PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST, DON'T THEY UNDERSTAND?""
Job 8 : 9 " For we are but from yesterday)and know nothing,"
Who was he talking to and why?
Isaia 55 : 8 "For my thoughts are not your thoughts, neither are your ways my ways, saith the lord"
Whose thoughts? Darwin's thought?
Hahah ahaha ahaha ahaha ahaha
Wewe kaa kimya umezidi kuchemsha.
Uatheist huujui, Ukristo ndio kabisaaaaa. Fundish GOD DOES NOT EXIST KAMA UNAUBAVU.
UMESHINDWA.
Lete ushaidi kama ulivyo dai kwa Max kwamba GOD DOES NOT EXIST.
HUNA HATA KIDOGO. MANENO MATUPU WEWE.
Lete ushaidi kama ulivyo dai kwa Max kwamba GOD DOES NOT EXIST.
HUNA HATA KIDOGO. MANENO MATUPU WEWE.
How about you really reading a bible yourself? Really reading it, i.e. not only to understandingless repetition (and (mis)quoting) of text, but to critically review and understanding of what is said and meant in and by that text? A more educated, by moments scientific reading and reflection on texts? Ever tried?
Nitarudia tena na tena
NASEMA MUNGU/POPOBAWA HAYUPO KWASABABU WAKATI WA HIZO AMRI ZILIPOTOLEWA ZIMEPISHANA NA HUYO ALIYEZIPOKEA.[MOSES]
MPOKEAJI KAMA NI KWELI ALIKUWEPO ALIKUA KESHAKUFA, KESHAOZA KARNE KIBAO NDIO ZIKAJA AMRI!! KAMA HUONI KASORO HAPO NAKUAMBIA ENDELEA KUAMINI POPOBAWA WAKO
Jamani msimuandame Darwin, yeye alichofanya ni kukiri kuwa anamapenzi na mapopobawa, kukiri kwake sioni kama ni kosa kabisa, zaidi ya kuamua kuwa domestic friend wa popobawa.
Inawezekana kabisa darwin anamachungu kuhusu hawo jamaa zake mapopobawa kwa jinsi wanavyo mfanya kila usiku, lakini hayo yote ni mapenzi yake darwin.
Hivi huoni kuwa darwin kasahau hata kujibu swali alilodai kuwa anajibu lake, na kuamua kumwaga hadharani mapenzi yake ya popobawa?
Ok mr/ms
Nikuulize na wewe Nipe ushahidi wa kwamba mungu yupo.
Kitabu mnachotumia kimetungwa baada ya hao mnaowaita waungu wameshakufa zamani, huoni hapo kwamba ni kinyume?
Nimesema mara kwa mara kwamba: Kama mtanipa ushahidi wa hizo amri zenu kwamba zililetwa wakati sambamba na hao waungu wenu ndio nitaamini.
Haiwezekani aliyepewa amri ameshakufa ndio zinakuja baadae