Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Aaah nyie fungeni tu sisi tushawachoka tumepata wapya.Nasema ivi hata salamu simlikuwa hamtaki eti kisa mpo kwenye funga, mtajua hamjui na sisi mabaharia tumeanza funga yetu kivyetu.
Tunaenda na wale tuliokuwa nao pamoja katika kipindi hiki kigumu.
😂😂Hahaha vp mkuu umeombwa kijora cha iddy nini
CHAIAisee