KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Muweke wazi huyo dada anayeringa mapaka ukaandika haya,maana inaonekana kuna jambo ambalo linakukwaza kuhusu huyo dadaEwe dada unaringa, unaringa kitu gani,
umekonda kama kibao cha kusiginia chapati.
Kama wewe unanguvu tukutani uwanjani....
Ahhh..... Maneno mengine nimeyasahau.
Ewe dada unaringa, unaringa kitu gani,
umekonda kama kibao cha kusiginia chapati.
Kama wewe unanguvu tukutani uwanjani....
Ahhh..... Maneno mengine nimeyasahau.
Naringia hicho unachokitaka kwangu na kukondeana kote huku...............LOL
Kyupi yako ya mtumbaa...Ewe dada unaringa, unaringa kitu gani,
umekonda kama kibao cha kusiginia chapati.
Kama wewe unanguvu tukutani uwanjani....
Ahhh..... Maneno mengine nimeyasahau.
Kyupi yako ya mtumbaa...
gagulo ya mnadani jamaaaaa....
Hivi kina dada bado wanavaa hizo midude? Hhaha Gagulo duh!