Ewe dada unaringa kitu kitu gani?

Ewe dada unaringa kitu kitu gani?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Ewe dada unaringa, unaringa kitu gani,
umekonda kama kibao cha kusiginia chapati.
Kama wewe unanguvu tukutani uwanjani....
Ahhh..... Maneno mengine nimeyasahau.
 
Naona umesahau jukwaa mdogo wangu! Hili siyo jukwaa la ushairi
 
Mkuu hii ni kitu gani aisee??? May be sana sana peleka kulee kwenye udaku/jokes inaweza ikawork hapa umeingia choo cha stand.
 
Rusha roho tena,inaonekana kapewa za uso huyu na muhusika yumo humuhumu
 
Ewe dada unaringa, unaringa kitu gani,
umekonda kama kibao cha kusiginia chapati.
Kama wewe unanguvu tukutani uwanjani....
Ahhh..... Maneno mengine nimeyasahau.
Muweke wazi huyo dada anayeringa mapaka ukaandika haya,maana inaonekana kuna jambo ambalo linakukwaza kuhusu huyo dada
 
Huu wimbo nakumbuka tulikuwa tukiuimba zamani siku za nyuma tulipokuwa wadogo tukiruka kamba
 
Ewe dada unaringa, unaringa kitu gani,
umekonda kama kibao cha kusiginia chapati.
Kama wewe unanguvu tukutani uwanjani....
Ahhh..... Maneno mengine nimeyasahau.

Ntaku changanya changanya ntakuwekea hi-ha, ambayo ni Yangabebua sukuma waaaaa! ha ha ha.. Ni zamani saaaana
 
Naringia hicho unachokitaka kwangu na kukondeana kote huku...............LOL
 
eh!wakati mwingine inabidi kufikiri zaidi............................................
 
Naringia hicho unachokitaka kwangu na kukondeana kote huku...............LOL

Michelle, michelle, michelle najua unacho ringia Naomba punguza pozi kidogo basi :love:
 
Ewe dada unaringa, unaringa kitu gani,
umekonda kama kibao cha kusiginia chapati.
Kama wewe unanguvu tukutani uwanjani....
Ahhh..... Maneno mengine nimeyasahau.
Kyupi yako ya mtumbaa...
gagulo ya mnadani jamaaaaa....
 
Naukumbuka huu mwimbo jamani ni wazamani sana
mabega basiiii...
kiuno basiiii....
 
Naringia what Ma mama gave me!ahhahhha..changu changu,chako chetu!:smile-big:
 
Back
Top Bottom