Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana


Una bikra?!
 
Najaribu kufikiria wewe umebinuliwa binuliwa huko weee,na kila size pia umezinyonya, afu uwe sawa na ambaye hata kulala chali hajui.
 
Daaa wachina wabaya sana, huwa wanafanya utafiti kujua demands za wa bongo, then hufanya production na ku supply. .sasa bikra zipo tu madukani. .Mfano kuna jamaa yangu mmoja alipata binti wa kitanga hapa dsm, wakaamua kufunga ndoa, basi tulimsindikiza Tanga akapewa mke, bahati nzuri msichana akapigiwa vigelegele kuwa amekutwa bikra, sasa mida ya jioni tukiwa jirani tunapata kahawa nikamsikia vijana wana ongea, oooo eti (anamtaja jina) amekutwa bikra wakati ametoa mimba zangu 2,huku akitaja jina la doctor maarufu maeneo hayo. .Daaaa nilistaajabu kwakweli ndio nikaanza kufuatilia kujua hili linawezekanaje?kumbe Chinese wanamautundu yao yakurudisha hizi mambo, kama vile wanavyo ongezea dada zetu makalio au wanaume kukuza uume. ..
 
Sasa tunaelewana



Ukweli usemwe na ukweli ni kuwa mnapoongelea bikra mseme "watu" na sio "wanawake" . Otherwise ni kuotesha mizizi ya UMUNGU MTU na MFUME DUME.

Na Samahani sana huna chochote cha kumsumbua yeyote humu ndani

Jibu langu umeliona tofauti kwasababu wewe ndo umekuja na mfano halisi wa unafiki niliokuwa naongelea, na wewe tumekutana mara kadhaa humu so nakujua.

Mama wa watoto mlivyoachana alikuwa single mother kabla hajaolewa. Sasa kaolewa. Kumbe kwenye thread unazokandiaga maSingle mother kwamba ni used unamsemaga mama watoto wako? Kama sio stress ni nini?

brenda18 kumbe jamaa ex wake kaolewa pamoja na kuwa na mtoto. Lakini jamaa kutwa kusema masingle mothers. Embu analyse.
 
Umefungukaaa umemwagikaa
 
nikitaka kujibu ninachokijua mimi nadhani tutauharibu mjadala uliyopo hapa... Binafsi huwa napenda kupuuzia wachache ambao tayari wameshafikia mwisho wa safari yao.. Ungeijua sababu ya kilichotuachanisha nadhani usingejisumbua kuita watu ambao hawamjui ibra na Hawakaa wamjue....

Niliichukulia mada yako kama kitu cha kushare uzoefu nilionao juu ya kile nilichopitia na kukiona. Lakini imekuwa kinyume na matarajio Yangu kwa kuwa umeonyesha ujumbe wangu unataka kukuibua kwenye kitu ambacho hukijui...

Nachelea kusema kile ambacho nilikuwa nakifikiria juu Yako nadhani nikiondoe katika kichwa changu kwa kuwa nimeona na kutambua ukipofu wako lakini huku ukijitahidi Kutaka kuwaongoza Wanaoona.

Pole Sana kwa kuonyesha weupe wako.. Jadili kilichokuwepo mezani.... Kama unataka mada Unayoitaka Njoo kule ilipo twende sawa....

BORA KUONYESHA UTUPU WAKO UKIWA NA NDUGU ZAKO NYUMBANI WANAWEZA WA KAKUSAIDIA KUKUSITIRI KULIKO KUONYESHA KWENYE UMATI WA WATU....
 
Hahahaa housegirl ni nini lakini unataka watu wacharuke kama wamekula pilipili kichaa,utashushiwa magazeti teh... Siwezi analyze milembe case,nisamehe
 
I'm sorry but sikuweza kuacha kuonyesha mshangao niliokuwa nao.
No excuse. Whatever your case was hata wamama wengine wana sababu zao. Ndo uache kusema mama za watu wakati hata mama wa mwanao kapitia huko.
Bye
 
Demand yake imekua kubwa,wacha wawadanganye tu hakuna namna...ndoa sio bikra tu kwaio bado huyo Dada anaweza kuwa mke mzuri,hongera kwa jamaa yako kwa kuopoa mke used kama walivyo wanaume wengi humu jf...
 
Jiwe limetupwa gizani. Watu wanatapatapa
Badala ya kutulia na kuelewa mtu anakimbilia mambo tofauti hatimaye mada inabadilika wanabaki kuassume tunaumia,wtf I wouldn't wish to be one of the virgin in the street but then it's not a sin kuwashauri ambao bado wapo kwenye karne hio,this thread was specially for virgin dadas wanaambiwa they should be careful na mabazazi,hellow jf men mbona wanapaniki kwani tatizo ni nini hapo...too much bitterness in this thread sijaelewa hymen ya mwingine aumie mwingine,teh...
 
Atakayekuelewa akuelewe. Manake nimetembea nao pages 7, wapi!!!!!!!
 
hellow jf men mbona wanapaniki kwani tatizo ni nini hapo...too much bitterness in this thread sijaelewa hymen ya mwingine aumie mwingine,teh...

Welp, such is life.

Some people just can't live and let live.

They have to impose and when they don't get their way, they try to impose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…