Sasa tunaelewana
Ukweli usemwe na ukweli ni kuwa mnapoongelea bikra mseme "watu" na sio "wanawake" . Otherwise ni kuotesha mizizi ya UMUNGU MTU na MFUME DUME.
Na Samahani sana huna chochote cha kumsumbua yeyote humu ndani
Jibu langu umeliona tofauti kwasababu wewe ndo umekuja na mfano halisi wa unafiki niliokuwa naongelea, na wewe tumekutana mara kadhaa humu so nakujua.
Mama wa watoto mlivyoachana alikuwa single mother kabla hajaolewa. Sasa kaolewa. Kumbe kwenye thread unazokandiaga maSingle mother kwamba ni used unamsemaga mama watoto wako? Kama sio stress ni nini?
brenda18 kumbe jamaa ex wake kaolewa pamoja na kuwa na mtoto. Lakini jamaa kutwa kusema masingle mothers. Embu analyse.