Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana

Hahahahaa before hapo tulikua tunaishia kuona kwenye tamthilia na movie tu...baada ya kufika chuo ndio tukadanganyika kupractice tulichokua tunaona kwenye movie..na tulijua maisha ni simple kama kwenye tamthilia kua your first man ndiye atakua mumeo
Majanga......nilidhani niko mwenyewe mwenye mawazo hayo....
 
Najaribu kufikiria wewe umebinuliwa binuliwa huko weee,na kila size pia umezinyonya, afu uwe sawa na ambaye hata kulala chali hajui.
Nakweli Inashangaza...!!! Ni vitu viwili tofauti kabisa kama ilivyo asubuhi na jioni.
 
formula sijui lakini ukitumia logic tu. Hivi mtoto mwenye play station nyumbani na mtoto ambaye aende za kulipia Nani kacheza zaidi!

Sauz sasa mwenye bikra yake original kusomeshwa bure mpaka profesa, we endelea kuipuuzia bikra.
 
Nini kilikuzuia kua padri?
 
Housegirl majority ya wanaume hatuna bikra pia wanawake hawana kutokana na maadili ya kizazi hiki cha nyoka.so mwanaume kuseka bikira ni mission impossible.wanaume wengi zinaanzia kutoka kweye ndoto za usiku.magori ndani ya mashuka.
 
Mwanume hana bikira dada.
Na nafikili wewe huna bikira hapo ulipo. Na inawezekana wanaume unaokutananao wanataka bikira ndio wakuoe.
Pole kwa hilo.
 
Jipumzikie mwaya jf ni ile ile...
Huyu dada naamini kakutana na wanaume ambao wanadai bikira.
Na ninafikili kinamtesa sana hio kitu.
Maana anaongea kwa uchungu sana.
Bikira ni kweli inakazi yake ndo maana MUNGU kaiweka .
Mwanaume bikira hana.
Ila halalishwi kufanya uzinzi.
 
We unaonekana huna bikra acha kujifariji
 
Ushahidi wa kwamba mtu kakatwa bikra ni damu , inakuaje mwanaume anakuwa na bikra , nyie wanawake wa 50/ 50 kuna mda mnakuwa vichaa.
 
Tunaruhisiwa kuoa kuanzia moja mpaka 700.Usiwadanganye wenzako ambao bado ni bikra wauze kwa chipsi. Kama una bwawa na hupati mtu komaa nalo tu, hakuna namna
 
Huo ni uvivu na kukosa nguvu ya kiume
😂
(Kidding)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…