Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana

Kuna dada amewahi kuulizwa kama ye ni bikra wakati anatongozwa?..Sijawahi kusikia
Atauliza kwa sababu anamzungusha jamaa akikutana nae muoga wa kushikwa hata kidefu,kiuno halafu utamwaga swaga zako zote yani mpaka akubali hilo swali atakuwa amesikia"Eti wewe ni Bikra" Tofauti sana na Kina nani hawa ni pesa mbele, mshike mkono alfu hamna kuzungushana sana
 
Kiukweli wengi waliobahatika kukutana na bikra waliwashawishi under 18 kwakua watoto wa kike wanaanza kutolewa macho mapema mno kama maembe mabichi na watoto hivyo ukikuta MTU mzima 20+ ni bikira ni jambo jema sana lkn sio afya

Si kweli. Wengi huanza chuoni, tena late.

Wanaoanza mapema wengi ni wa uswahilini/vijijini.
 
Sijui tusemeje,na hapa wanaume wakipaniki ni jiwe au... ? nauliza tu

Dyudyu ingekua inachakaza,wa kwanza kuchakaa anatakiwa awe mke wa mtu teh, huu uzi una mambo mengi housegirl ilibidi ulete nusu nusu....
 
Si kweli. Wengi huanza chuoni, tena late.

Wanaoanza mapema wengi ni wa uswahilini/vijijini.
Kweli kabisa,nakumbuka chuo mwaka wa kwanza watu tulitinga na birika zetu most of us,yani ukiskia mambo ya dyudyu unatamani kulia.... Kufika mwaka wa tatu asalale
 
Kweli kabisa,nakumbuka chuo mwaka wa kwanza watu tulitinga na birika zetu most of us,yani ukiskia mambo ya dyudyu unatamani kulia.... Kufika mwaka wa tatu asalale
Hahahahaa before hapo tulikua tunaishia kuona kwenye tamthilia na movie tu...baada ya kufika chuo ndio tukadanganyika kupractice tulichokua tunaona kwenye movie..na tulijua maisha ni simple kama kwenye tamthilia kua your first man ndiye atakua mumeo
 
Sijui tusemeje,na hapa wanaume wakipaniki ni jiwe au... ? nauliza tu

Dyudyu ingekua inachakaza,wa kwanza kuchakaa anatakiwa awe mke wa mtu teh, huu uzi una mambo mengi housegirl ilibidi ulete nusu nusu....
Haha unaona eh . Me sielewagi mahesabu wanayopiga hadi kutuona tumechoka. ...
Waache tu huo msemo manake wanasema wake za watu na heshima zao. Humo ndani na kubakwa juu. Hawaoni.
 
Hahahahaa before hapo tulikua tunaishia kuona kwenye tamthilia na movie tu...baada ya kufika chuo ndio tukadanganyika kupractice tulichokua tunaona kwenye movie..na tulijua maisha ni simple kama kwenye tamthilia kua your first man ndiye atakua mumeo
Too much truth in this lol
 
Ndio yaliyokukuta?!peleka kwa shigongo.
 
Kwangu nshaona mwanamke aliye na bikra hanaga lolote kwangu, kikubwa ni vile hulka yake jinsi ilivyo maana kama mwanamke mwenye bikra atakapoonekana anafaa ni sawa na kuchagua uzuri wa sura ya mwanamke kuliko tabia.
 
Kweli kabisa,nakumbuka chuo mwaka wa kwanza watu tulitinga na birika zetu most of us,yani ukiskia mambo ya dyudyu unatamani kulia.... Kufika mwaka wa tatu asalale

Tena wakikujua ni Bikra wanakutenga kwenye stories zao,
Wanakuita Mlemavu atii.
 
Unastress, naona kama umeandika kwa uchungu saana.

Kuna watu hata kabla ya kuolewa, wameshafanyana kuliko hata wenye ndoa ya miaka ishirini.
Elimu ya saikolojia uliisoma chini ya mti?

Hayo mengine maneno tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…