Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wanawake wote wanapotongozwa huwa unakuepo?Kuna dada amewahi kuulizwa kama ye ni bikra wakati anatongozwa?..Sijawahi kusikia
The birds with the same feathersKatika Mwanamke I Wish And Pray Not To Meet Ni BIKRA.
Such A Nuisance. Unaweza Ukasafa Mwaka Mzima Kupewa Game Na Siku Ya Gemu You Will Wish You Were Not There.
Kugonga Demu Bikra Na Kugonga MALAYA Famous Mtaani, I Will Go For The Whore A Million Times!
Sio afya kivipi?inamadhara gani kuwa bikira at 20+?nijibuKiukweli wengi waliobahatika kukutana na bikra waliwashawishi under 18 kwakua watoto wa kike wanaanza kutolewa macho mapema mno kama maembe mabichi na watoto hivyo ukikuta MTU mzima 20+ ni bikira ni jambo jema sana lkn sio afya
Waliooa wasio na bikra wanawadharau wake zao?Ukiolewa na bikira hasa sisi tulioolewa mapema,yaani above 19up to 20s,kama mume wako nimwanaume halisi atakuheshimu sana
Nimeolewa house gal nnazaidi ya miaka kumi nnawatoto sita,mapacha waliozaliwa mara tatu,niliolewa namtu nilieanza nae hizi habari baada ya kumaliza form six nilipoanza niliconceive na nikaolewa moja kwa moja,nimeona tofauti kubwa kati ya waliolewa ndani kwetu bila bikira na mimi ,naona Mungu alinipendelea ila Mume wangu haachi kusema kama sijashea na mtu mke,pamoja na kurudi kushukuru kwetu.hivyo siwezi kuita bikira unafki hata kidogo tumekua tunajifunza hivyo na jinsi ya kujitunza,nimuhimu kama hukuweza basi ila kwa walioweza hongera .Ndo kufungwa kifikra na unafiki niliokuwa naongelea
Nani hapendi kusifiwa. Hata mimi ningeolewa na bikra ningefurahi kusifiwa hilo.Nimeolewa house gal nnazaidi ya miaka kumi nnawatoto sita,mapacha waliozaliwa mara tatu,niliolewa namtu nilieanza nae hizi habari baada ya kumaliza form six nilipoanza niliconceive na nikaolewa moja kwa moja,nimeona tofauti kubwa kati ya waliolewa ndani kwetu bila bikira na mimi ,naona Mungu alinipendelea ila Mume wangu haachi kusema kama sijashea na mtu mke,pamoja na kurudi kushukuru kwetu.hivyo siwezi kuita bikira unafki hata kidogo tumekua tunajifunza hivyo na jinsi ya kujitunza,nimuhimu kama hukuweza basi ila kwa walioweza hongera .
Mada yako ukiangalia wachangiaji wote hakuna ambaye amekubaliana na wewe kuwa kuna wanaume wanataka bikra...ndo maana nasema hii mada imetokana na jambo ambalo either umekutana nalo kwa mtu mmoja au mtu wa karibu yako kakutana nalo...ndo maana nasema kuna haja yakufanyia utafiti upya...siku hizi watu wanaangalia uwezekano wa mwanamke kuzaa siyo bikra...maana bikra hakuna...Unfortunately, umekosea. Labda umeguswa.
Whatever.....The birds with the same feathers
HAHAHAHAHAHA HAWA WALIOACHWA NA WAKATI WANASHIDA SANAPale unapogundua umekosa ndoa kwa sababu hauna bikira
Nimeanzisha mada kutokana na comments nazoonaga humu ndani. Nothing to do with my life.Mada yako ukiangalia wachangiaji wote hakuna ambaye amekubaliana na wewe kuwa kuna wanaume wanataka bikra...ndo maana nasema hii mada imetokana na jambo ambalo either umekutana nalo kwa mtu mmoja au mtu wa karibu yako kakutana nalo...ndo maana nasema kuna haja yakufanyia utafiti upya...siku hizi watu wanaangalia uwezekano wa mwanamke kuzaa siyo bikra...maana bikra hakuna...
Heshima ni jambo lamtu binafsi,uwe nayo usiwe nayo inakupasa kuheshimiwa,ila dada house gal inaonekana wewe ni feminist na sio gender activist,sijasema kuhalalisha ubaya au uzuri wa wanaume ila dizain unaonekana upo bitterWaliooa wasio na bikra wanawadharau wake zao?
Ndo huu unafiki, kuona vibaya kwa mwanamke lakini kwa mwanaume si vibaya kwakuwa maandiko waliandikiwa wanawake peke yao.
Waliokuwa na bikra wakaishia kunyanyaswa?