Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana

Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana

Ukweli mtupu Housegal,japokua bikira ni fahari ya binti,
Ila tuwakumbushe wanaume pia hata kama unamaumbile makubwa na hujui kuyatumia ni ulemavu tu na kua na maumbile madogo sio udhaifu
 
Katika Mwanamke I Wish And Pray Not To Meet Ni BIKRA.
Such A Nuisance. Unaweza Ukasafa Mwaka Mzima Kupewa Game Na Siku Ya Gemu You Will Wish You Were Not There.
Kugonga Demu Bikra Na Kugonga MALAYA Famous Mtaani, I Will Go For The Whore A Million Times!
The birds with the same feathers
 
Kiukweli wengi waliobahatika kukutana na bikra waliwashawishi under 18 kwakua watoto wa kike wanaanza kutolewa macho mapema mno kama maembe mabichi na watoto hivyo ukikuta MTU mzima 20+ ni bikira ni jambo jema sana lkn sio afya
Sio afya kivipi?inamadhara gani kuwa bikira at 20+?nijibu
 
bikra ipo ipoje hiyo mbona nasikiaga tu bikra sijui hata inakuaje na inakaa wapi?
 
Hamna lolote hapo sababu kuijua bikra ya mwanmmke ni rahsi xana lakini wengi huwa na zile feki za kutengeneza

Then kumjua mwanamme bikra da mpaka msichana awe fundi sana na hasaa pale kwenye sex ndo utajua kama ni bikraa,,

BUT WANAWAKE WENGI HUWA HAWAANGALII SANA BIKRA YA MWANMMKE COZ HUWA HAWAJALI XANA NDO MAANA WANAUME HUWA HUWEZA KUOA WANAWAKE WENGI BUT WANAUME HUWA TUNA JALI SANA BIKRA YA MWANAMKE SABABU YEYE HAWEZI KUOLEWA NA WANAUME WENGI

AM DONE.......
 
Ukiolewa na bikira hasa sisi tulioolewa mapema,yaani above 19up to 20s,kama mume wako nimwanaume halisi atakuheshimu sana
Waliooa wasio na bikra wanawadharau wake zao?

Ndo huu unafiki, kuona vibaya kwa mwanamke lakini kwa mwanaume si vibaya kwakuwa maandiko waliandikiwa wanawake peke yao.

Waliokuwa na bikra wakaishia kunyanyaswa?
 
Ndo kufungwa kifikra na unafiki niliokuwa naongelea
Nimeolewa house gal nnazaidi ya miaka kumi nnawatoto sita,mapacha waliozaliwa mara tatu,niliolewa namtu nilieanza nae hizi habari baada ya kumaliza form six nilipoanza niliconceive na nikaolewa moja kwa moja,nimeona tofauti kubwa kati ya waliolewa ndani kwetu bila bikira na mimi ,naona Mungu alinipendelea ila Mume wangu haachi kusema kama sijashea na mtu mke,pamoja na kurudi kushukuru kwetu.hivyo siwezi kuita bikira unafki hata kidogo tumekua tunajifunza hivyo na jinsi ya kujitunza,nimuhimu kama hukuweza basi ila kwa walioweza hongera .
 
Nani hapendi kusifiwa. Hata mimi ningeolewa na bikra ningefurahi kusifiwa hilo.

Unfortunately nitasifiwa vingine lakini sio bikra. Does it make me any less worthy?

Mume wako alikuwa bikra? Kama mmeolewa kwa misingi ya dini halafu yeye alitaka bikra wakati yeye Hana, unamuongeleaje?

All in all hongera for your healthy relationship but siamini kuwa msingi wa mahusiano mazuri ni bikra ya mwanamke peke yake
 
Unfortunately, umekosea. Labda umeguswa.
Mada yako ukiangalia wachangiaji wote hakuna ambaye amekubaliana na wewe kuwa kuna wanaume wanataka bikra...ndo maana nasema hii mada imetokana na jambo ambalo either umekutana nalo kwa mtu mmoja au mtu wa karibu yako kakutana nalo...ndo maana nasema kuna haja yakufanyia utafiti upya...siku hizi watu wanaangalia uwezekano wa mwanamke kuzaa siyo bikra...maana bikra hakuna...
 
Nimeanzisha mada kutokana na comments nazoonaga humu ndani. Nothing to do with my life.
Inabidi kuwe na uwiano wa threads humu. Na pia tunahitaji kufungua wadada akili wasidanganyike na wanafiki.

#and I'm very sure kuna watu wametetea bikra ya mwanamke peke yake hapa
 
Bikra ni muhimu, kama ushavunjwa rudi kwa aliyekuvunja ukamwombe akuoe kabisa.
 
Waliooa wasio na bikra wanawadharau wake zao?

Ndo huu unafiki, kuona vibaya kwa mwanamke lakini kwa mwanaume si vibaya kwakuwa maandiko waliandikiwa wanawake peke yao.

Waliokuwa na bikra wakaishia kunyanyaswa?
Heshima ni jambo lamtu binafsi,uwe nayo usiwe nayo inakupasa kuheshimiwa,ila dada house gal inaonekana wewe ni feminist na sio gender activist,sijasema kuhalalisha ubaya au uzuri wa wanaume ila dizain unaonekana upo bitter
 
Back
Top Bottom