Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana

Mwanamke bikra bado ana hadhi yake kwenye jamii hata iweje,huwezi kulinganisha na mwanamke ambaye alishatolewa bikra.Wanaume wengi tunaamua kuoa tu wasiokua na bikra kutokana na kutopatikana wanawake ambao ni bikra kirahisi,hiyo ndo pona yenu nyie wanawake ambao mlishatolewa bikra na wanaume wengine halafu mnaolewa na wanaume wengine.Kama kuna mdada ambaye ni bikra humu ndani ajichunge hadi mumewe atakapokuja kumwoa.Siwapendi sana wanawake ambao ni second hand,hii imenifanya hata kufanya mapenzi nichelewe sana.Kwa hali ilivyo sasa hivi bora ningekua FATHER mwaminifu tu.
 
You can't overlook ..issue ya Bikira..ili kujustify madhaifu..Bikira ina maana nzito kidini ,na hata kimila na desturi zetu za jamii zetu za kiafrika.....na ndio maana hata zama za zamani mwanamke akiolewa na kutambulika kuwa na Bikira ilikuwa ni fahari Sana..Kama nakumbuka vizuri mwanamke alikuwa akiolewa Siku ya harusi sehemu ya kulala na mume yatandikwa shuka jeupe na ilikuwa ikidhihirika kwamba mwanamke ni bikra inakuwa ni fahari kwa waoaji na walezi/wazazi wa binti..

Hivyo swala la Bikira kwa mtu anayetegemea kuwa mke na Mme si la kuoverlook na kuchukulia poa..

Tukubali kwamba wote tunakuwa tumefanya makosa kuchakachuana kabla ya ndoa ..I mean both man and woman has mistakenly undergone sexual intercourse before marriage..tusianze kujustify madhaifu yetu kuwa haki....tukubali tunakuwa tumekosea..

Kwa wabobezi mambo ya dini huwa wana perspective yao juu ya hili ..na huwa wanatoa ushauri namna ya kujitakasa na kurudisha bikra hiyo kiroho..japo physically inakuwa haiwezekani..ni matumaini yangu ..humu wamo wa kutosha natumaini wanaweza kutueleza kwa kina juu ya hili...
 
Heshima ni jambo lamtu binafsi,uwe nayo usiwe nayo inakupasa kuheshimiwa,ila dada house gal inaonekana wewe ni feminist na sio gender activist,sijasema kuhalalisha ubaya au uzuri wa wanaume ila dizain unaonekana upo bitter
Excuse my writing. I'm a terrible writer. I'm no where near bitter, much less about men who think of Virginity.
Labda kisa I have counter arguments to everything people are saying ndo naonekana bitter. !!

natetea tu wanawake wanaosemagwa humu. Kama umesoma vizuri nimeweka vitu vingi in one.
 
Kwahiyo unasema maandiko haya Apply kwa wanaume?

Of course topic haiwahusu wasiofwata dini hizi.
 
Mimi nilikuwa nafikiria dini na si tamaduni.

Sitetei makosa natetea wanaosemwa vibaya kupitia viwango hivi vya dini. Mwanaume mkristo au muislamu anatoa wapi moral authority kudemand bikra au kumdharau mwanamke asiyekuwa nayo, wakati yeye mwenyewe Hana?
 
Yeye kutokua na bikra sio kigezo cha kuhalalisha utolewajitolewaji wa bikra bila mpangilio,bikra ziendelee kuwa promoted na sio vinginevyo.Watoto wetu wanatakiwa waambiwe kabisa wajitunze na ikiwezekana kama ni wakike wasitolewe bila utaratibu na wakiume wasitoe bikra hovyohovyo.Ikiwezekana waambiwe madhara ya kutokuwepo bikra kimaadili ukubwani hasa katika maisha ya ndoa.
 
Elimu ya saikolojia uliisoma chini ya mti?

Hayo mengine maneno tu....
Hata wanasaikolojia wote wakubwa hakuwahi kulijua darasa.
Swala la mwanamke kujituza kama ameamua hana uhusiano wowote na uhuni wa mwanaume.
Mwanaume kutaka mwanamke bikra pia ni maamuzi maana bikra inapatikana kwa wanawake hawezi kuihitaji kutoka kwa mwanaume mwezake.
 
Tukija kwenye maisha halisi hiyo ni jamii ya kufikirika. sio kwamba siku hizi wasichana hawaambiwi watunze bikra au kanisani hawasemi. History imetufundisha kuwa mambo mengine huwezi kuzuia.

Baada ya kutambua tuko kwenye mfumo dume, cha kufanya ni kutetea tu wanawake wanaodhalilishwa kila leo humu na wanaume ambao wao wenyewe hawafuati hivyo viwango.
 
kama umeolewa au utaolewa bila bikra fahamu huna thamani ya ndoa kabisa chamuhimu mbakizie tu mmeo usimmalizie utamu wote
 
Nimeshawatahdharisha wadada hawa kuhusu kuishi na mwanaume mnafiki anayefikiri viwango vya dini haviApply kwake
 
kama umeolewa au utaolewa bila bikra fahamu huna thamani ya ndoa kabisa chamuhimu mbakizie tu mmeo usimmalizie utamu wote
Thamani ya bikra ni kitu cha kufikirika
 
Tena wakikujua ni Bikra wanakutenga kwenye stories zao,
Wanakuita Mlemavu atii.
Yaani upo sawa kabisa,chuo peer pressure ndio inachangia sana,unatengwa unaonekana wa ajabu,teh
 
kubali ukatae saiv tunaowa tu kwasababu hazipogo tena nandomana thamani ya mwanamke inashuka ndani ya nyumba
Heshima ni jambo lamtu binafsi,uwe nayo usiwe nayo inakupasa kuheshimiwa,

Si unaona nilichokuwa nasema mama lalamaliwato

Mkuu datz hata nyie hamuheshimiwi siku hizi kwasababu mtu mzima na akili zake kuheshimu mnafiki ni ngumu .
 
Si unaona nilichokuwa nasema mama lalamaliwato

Mkuu datz hata nyie hamuheshimiwi siku hizi kwasababu mtu mzima na akili zake kuheshimu mnafiki ni ngumu .
hilo neno mnafiki we ndo umesema ila hata wewe unafahamu sana mwanamke anayeolewa na bikra ana dhamani yake
 
hilo neno mnafiki we ndo umesema ila hata wewe unafahamu sana mwanamke anayeolewa na bikra ana dhamani yake
Unanilazimisha fundisho hilo potofu?

Huna tofauti na wanaoona mwanaume kutahiriwa na ganzi sio urijali.

Msichana anapaswa kujijua kabla ya kukutana na mtu. Fundisho langu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…