Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana

Huyo ana hasira ya kutokuwa na bikra. Wewe uliambiwa mwanaume ana bikra? Ukiwa na bikra mwanaume si ushamba?
Kanisani kwenu / msikitini kwenu ndo wanawafundishaga mwanaume kuwa bikra ni ushamba?
 
Ngono si kwa ajili ya mwanaume pekee. Samahani sana.

Na kupata mimba kabla ya ndoa si Kosa la ngono bali kutozingatia uzazi wa mpango.
Aisee we dada aliekuumiza akikutoa bikira Mungu amsamehe na umsamehe pia maana,huelewi unachoambiwa umekazania thamani yako kua kwenye bikira nani amekusema kama huna thamani kwasababu huna bikira?ila haibadilishi kua bikira si yathamani kwasababu huna!huna tu ila ni yathamani na inahitajika sana na wala sio old fashion,sisemi hivyo kwakua sikupata hiyo bahati mbaya yakutokuolewa na alienigegeda mara ya kwanza ila naamini katika destiny ya kila mtu.
Ukitaka kufa presha kwa ubishi huo olewa na mwanaume muafrika kamili utakufa presha mapema sana,ila ukitaka kuishi na hiyo misimamo olewa tu kimjinimjini au hata usifunge ndoa.
 
You lost your baby???
Ooh pole sana.

But you started by calling her names because of her older relationships. Now you know majina mnaoitaga wanawake humu ndani yasivyofaa. Mkuki kwa nguruwe........

Anyways usiku mwema

Kupoteza mtoto haijalishi sana kwa sasa, but how the info went down to the person. I'll go down with the source, will surely track her...
Hayo mengine sio tatizo kwangu, I know that's the only way one would defend herself. And it won't make me stop either coz sometimes I enjoy getting into others' nerves.
...greetings to ex darling atoto, I'll need to have a handshake with her sooner.
 
Kumbe unaenjoy yakhee,I couldn't feel sorry at first...umesahau ulisema mke wa rafikio kizazi kilitoboka kumbe ulikua unajiongelea mwenyewe....
 
Kanisani kwenu / msikitini kwenu ndo wanawafundishaga mwanaume kuwa bikra ni ushamba?
Wewe mwanaume mwenye bikra utamtoa wapi? Ata kama hajawai gegeda hakuna mwanaume atakuambia sijawahi na kingine utajuaje kama hana bikra? Lakini mwanamke ukiingiza tu jibu unalipata tena afadhali ukute wameachamo kidogo make wengine utakuta bwawa
 
Eti aliyeniumiza. Bado unaendelea kulazimisha kuwa mimi ndo mwenye tatizo. Au hadi na mie niseme status ya mahusiano yangu kama wewe ulivyosema. Naanza kuwaza we ndo una tatizo. Wewe achana na housegirl ongelea mada.

Hapa unaanza kucheza tu na maneno. Semantics. Ukisema bikra ina thamani naelewa kuwa mwanamke mwenye bikra ndo ana thamani kwasababu hiyo bikra haitembei yenyewe.
Na huko juu umeongelea kuhusu "kujijali".

Sasa kama haumaanishi thamani ya mwanamke ni bikra umemaanisha nini

brenda18 au nina kichwa kugumu hapa.

Huyu mama naye ana mume na watoto kumi tunabanana humhumu saa hizi . Lol
 
Wewe mwanaume mwenye bikra utamtoa wapi? Ata kama hajawai gegeda hakuna mwanaume atakuambia sijawahi na kingine utajuaje kama hana bikra? Lakini mwanamke ukiingiza tu jibu unalipata tena afadhali ukute wameachamo kidogo make wengine utakuta bwawa
Kama ni mshika dini kweli lazima awe mkweli. Nani anataka kuwa na mwanaume muongo?

Na mwanaume mwenyewe anajua Hana bikra Hana hadhi ya kudai bikra. Hata asiulize ajue hapati.

Nachotaka ni wadada wasifungwe kifikra na jamii kufikiri jukumu la kufuata viwango vya maadili haviwahusu wanaume
 
Kwa hiyo wew unashawish mabint wafanye ngono kabla ya ndoa tena mapema said siyo?!to be honest mbal na sifa nyingine nzur za mwanamke za kumfanya kuolewa inanogoga zaid akiwa bikra,bikra raha sana na fahari kwa mwanaume yoyote duniani hasa kwa mwanamke ambae anaenda kuwa Mke wako tuache kuzuga sema hivo ni ngumu kuziotea,alaf kwa nin zikitajwa bikra tu watu wanapanic balaaa?????
 
Kumbe unaenjoy yakhee,I couldn't feel sorry at first...umesahau ulisema mke wa rafikio kizazi kilitoboka kumbe ulikua unajiongelea mwenyewe....
Nimeshangaa sana eti he enjoys getting on others nerves. Sasa alivyoanza kulia lia. Eti he won't stop.

Get a life Eli79
 
Hahah,unajua watu hawajaelewa hii topic,nashangaa wanaongelea thamani ya bikra wakati topic ni wewe unaongea na wenye bikira zao...uzi umevamiwa huu mambo hayaeleweki
Nashindwa kuelewa watu na ndoa zao usiku huu wapo sahani moja na sie... Mueleweshe mama bana
 
Sishawishi mtu kitu.

Baadae wadada umri ukifika wasidanganyike na maneno ya wanafiki na miungu watu.

Hata mwanamke bikra anafurahi sana kujua yuko peke yake. Kwahiyo tunza hiyo bikra.
Na tunaongelea viwango vya dini hapa sio mitaani huko.
 
Hata mwanamke hufikiria hivyo hivyo. Jali hisia zake. Tunza bikra yako.
Naona we house girl unajitoa ufaham kuhusu maana ya bikra,au na wewe una definition yako ya bikra ha ha ha et mwanaume awe bikra that's nature huwez kupingana nayo kiboya ivo ili nawe akil kubwa utaonekana bogas kama wale wa 90's walojiita wabeijing
 
Unajua nipo wapi au unambwela tu?unalalaga na hao waliokutoa bikira hospitali?
Kajiongeze wewe,mbona hujamuua mama yako kamavthamani ya mwanamke inaishia kwenye bikira tu?unajikanyaga sana mara useme kama hujaheshimiwa kwa bikira utaheshimiwa kwa mambo mengi mara uhisi huna thamani kwasababu huna bikira,sikia housegal ikitoka hua hairudi ndio maana ni ya thamani,na inaongeza uthamani wa mwanamke .kama isingekua na impact isingekua dili,kama hunahuna tu,tulia jifunze kua mwerevu atleast usikose na tabia nzuri basi.
 
Exactly. I was telling my dadas to watch out hawa wanafiki. Watafute bikra wenzao

Ah nimejichokea sasa.
 
Naona we house girl unajitoa ufaham kuhusu maana ya bikra,au na wewe una definition yako ya bikra ha ha ha et mwanaume awe bikra that's nature huwez kupingana nayo kiboya ivo ili nawe akil kubwa utaonekana bogas kama wale wa 90's walojiita wabeijing
Again tunaongelea viwango vya dini.
Kalale
 
Mama wa watoto kumi.... Kwaheri
 
Unajiumiza bure kwa jambo ambalo huwezi kurudisha endelea na maisha mbele na uamini katika kujitunza hata kidogo,siku hizi mambo mengi kuna kansa za vizazi na maradhi tele yanaathiti sana wanawake jitunze na ufundishe mabinti kujitunza kama unao kama unavijana fanya hivyohivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…