Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana

Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana

Hahaha I'll take this with me

Eli79 don't make me use this next time we meet

#virtual kisses and hugs
housegirl, it's okay. Someone just hit me hard with the loss of my lovely baby. I wouldn't want to cross heads no more. The ignore button would do better for both of us.
 
housegirl, it's okay. Someone just hit me hard with the loss of my lovely baby. I wouldn't want to cross heads no more. The ignore button would do better for both of us.
You lost your baby???
Ooh pole sana.

But you started by calling her names because of her older relationships. Now you know majina mnaoitaga wanawake humu ndani yasivyofaa. Mkuki kwa nguruwe........

Anyways usiku mwema
 
Hivi kuna mahali unafanya registration ya how many bikira umezi vandalise nikajisajiri!?
 
Kuna kaukweliii We utake bikra wakati wewe huna unataka uifanyie nini? au ndo sharti za mganga toka misitu ya kongo.
Huyo ana hasira ya kutokuwa na bikra. Wewe uliambiwa mwanaume ana bikra? Ukiwa na bikra mwanaume si ushamba?
 
Mwanaume anataka bikra wakati yeye kashatoa za wadada wawili akawaacha anategemea zinatoka wapi wakati ameshiriki kuzitoa za wengine??
Zinazaliwa kila siku sema wengi hatujawahi kuzitoa ndo maana tuna hasira
 
Kweli kabisa,nakumbuka chuo mwaka wa kwanza watu tulitinga na birika zetu most of us,yani ukiskia mambo ya dyudyu unatamani kulia.... Kufika mwaka wa tatu asalale
Khaaaa we sasa umenichekesha hadi nimeshindwa kupita bure duuuh.....eti kufika mwaka wa tatu ikawaje? looh!!
 
Nani hapendi kusifiwa. Hata mimi ningeolewa na bikra ningefurahi kusifiwa hilo.

Unfortunately nitasifiwa vingine lakini sio bikra. Does it make me any less worthy?

Mume wako alikuwa bikra? Kama mmeolewa kwa misingi ya dini halafu yeye alitaka bikra wakati yeye Hana, unamuongeleaje?

All in all hongera for your healthy relationship but siamini kuwa msingi wa mahusiano mazuri ni bikra ya mwanamke peke yake
Nshajua kwanini wanawake huwafrustrated mwanaume anapokengeuka kwasababu hujawahi kujijali kila siku unajali wengine wamefanya nini!hujali wewe unachojifanyia ila unatakakujali unachofanyiwa hutakaa uache kutaja watu unapokosea!hukuambiwa kujitunza kwenu?ulibakwa wewe?

Najitahidi kukujibu politely ila unaonekana unashida kwenye kufahamu,hata akikwambia hajafanya utajuaje kama kweli?
Unajipashida na mwanaume ambae sio bikira unadhani hasara yanani hapo?kama hujitunzi utasemwa vibaya hiyo ndio jamii yetu huwezi kupingana na kilakitu ulichokikuta.

Kamuulize mama yako kama yupo au mwanamke mkubwa utaelewa nnachokisema.jitunze wewe jali afya yako hasara kubwa ipo kwako kuliko kwake hata kama huo ndio ukweli unaosema ila itachukua muda kuelewa.

Samahani kama nimekukwazwa ila najua binti ajitunze ,kijana ajitunze.ntamfundisha binti angu kujitunza kama hata jitunza basi.
 
Mwanamke huna bikra huna haki ya kuongea subiri huruma ya mwanamume. Mnasema zimetolewa na kina nani? Kawatafute haohao waliowatoa sisi tunataka BIKRA hapa
 
inshort bikra kwetu wanaume
inamaana ya uaminifu si kicheche

ushujaa kwa kuitoa

heshima ya mume na mke mume kujiona ni mume halali maana kama sio bikra unakua unawaza mda wowote atapeperuka kwenda kukumbushia
 
Thamani ya bikra ni ya kufikirika. Kuweka thamani ya mwanamke kwenye bikra ni kumfanya chombo cha starehe.

Kama ni wafwata maandiko, jinsia zote ziwe bikra. Zaidi ya hapo ni kuleta unafiki na umungu mtu.

Wala siwezi kufundisha binti hivyo. Au hujawahi kusikia mmama anasema ngono ni kwa ajili ya wanaume, kwa wanawake haina dili. How sad is that!!!
Ngono kwaajili ya wanaume kweli aisee kwa mabinti ni tendo la ndoa tena lenye heshima,ndio mana ukipata mimba nje ya ndoa na unaonekana binti hunaakili hukukadiria hasara,tafuta usawa wa hivyo nawanaume utaumia.utajiunga nawale vizee Udsm wale viongozi wa harakati wenye miaka 60bado wanapete za uchumba.
 
Nshajua kwanini wanawake huwafrustrated mwanaume anapokengeuka kwasababu hujawahi kujijali kila siku unajali wengine wamefanya nini!hujali wewe unachojifanyia ila unatakakujali unachofanyiwa hutakaa uache kutaja watu unapokosea!hukuambiwa kujitunza kwenu?ulibakwa wewe?

Najitahidi kukujibu politely ila unaonekana unashida kwenye kufahamu,hata akikwambia hajafanya utajuaje kama kweli?
Unajipashida na mwanaume ambae sio bikira unadhani hasara yanani hapo?kama hujitunzi utasemwa vibaya hiyo ndio jamii yetu huwezi kupingana na kilakitu ulichokikuta.

Kamuulize mama yako kama yupo au mwanamke mkubwa utaelewa nnachokisema.jitunze wewe jali afya yako hasara kubwa ipo kwako kuliko kwake hata kama huo ndio ukweli unaosema ila itachukua muda kuelewa.

Samahani kama nimekukwazwa ila najua binti ajitunze ,kijana ajitunze.ntamfundisha binti angu kujitunza kama hata jitunza basi.
Umeongea mambo ya maana sana kama wahusika watakuelewa lakini. Ulivyoongea imefanana na nilichomwambiaga miss chagga kuhusu suala la kuzaaa before ndoa. Nashukuru miss chagga alinielewa vizuri tu
 
Nshajua kwanini wanawake huwafrustrated mwanaume anapokengeuka kwasababu hujawahi kujijali kila siku unajali wengine wamefanya nini!hujali wewe unachojifanyia ila unatakakujali unachofanyiwa hutakaa uache kutaja watu unapokosea!hukuambiwa kujitunza kwenu?ulibakwa wewe?

Najitahidi kukujibu politely ila unaonekana unashida kwenye kufahamu,hata akikwambia hajafanya utajuaje kama kweli?
Unajipashida na mwanaume ambae sio bikira unadhani hasara yanani hapo?kama hujitunzi utasemwa vibaya hiyo ndio jamii yetu huwezi kupingana na kilakitu ulichokikuta.

Kamuulize mama yako kama yupo au mwanamke mkubwa utaelewa nnachokisema.jitunze wewe jali afya yako hasara kubwa ipo kwako kuliko kwake hata kama huo ndio ukweli unaosema ila itachukua muda kuelewa.

Samahani kama nimekukwazwa ila najua binti ajitunze ,kijana ajitunze.ntamfundisha binti angu kujitunza kama hata jitunza basi.
Again, thamani yangu haiko kwenye bikra.

Unachofanya ni brainwashing. Huna tofauti na wanaume wanaoona mwanamke ambaye hajatahiriwa Hana thamani.

Mwanzo ulisema I'm bitter. Now frustrated. Haha don't force it! It's just not is!

Kutokuwa na njia ya kujua kama mwanaume ni bikra usiwe sababu ya kukandamiza wanawake na viwango hivi. Huwezi kusema jamii ndo ilivyo! It should change!

Narudia, wafwata dini wote wawe bikra. Kama mwanaume sio, Hana thamani ya kudai bikra na kudharau ambao hawana.

Wanawake wakatae huu utumwa wa fikra. Akiona mtu anapindisha Viwango vya dini kwa mwanaume, amuangalie mara mbili mungu mtu huyu.
 
***Kwa ufupi shughuli hajui na anaweza kuwa mtu mbaya sana kuishi naye

¶Ana Low self esteem. Hajiamini. Aidha kwasababu,

1)Ana maumbile madogo.
Anaogopa kulinganishwa.

Anafikiri ukiwa bikra una ka K kadogo so utahitaji machine ndogo. Anafikiri usipokuwa bikra una li K likubwa unahitaji muhogo wa jang'ombe, kwakuwa sisi ni maPorn star, kazi kudandia **** asubuhi hadi jioni siku saba za wiki.

(HIVI WANAPOSEMAGA TUMETUMIKA TUMECHOKA, hivi kati ya mwanamke aliyeolewa na mwanamke ambaye haishi na mwanaume, nani anafanya hizo shughuli karibia kila siku!!!)

2)Maumbile yake hayavutii.
Usione wanawake wanavyosemagwa. Jamani kuna mashine zinatisha sana. Zinatia hata ukakasi kuangalia.

Wengine ni process ya kawaida ya kuzeeka.

Basi anaona bora aoe bikra asiyejua kuwa Kuna aina nyingi.

Wanaonaga hatuna macho. Kweli wanawake tunavumilia mengi.

(ewe mwanaume usiye na hatia, wala usijali, kama kakupenda kakupenda tu)
(na kuna wajinga watasema nimepita kwingi ndomana Najua ziko tofauti. ni wajinga)

3)Ana matatizo ya nguvu za kiume au hajawahi kufikisha mwanamke.
Labda anawahi kufika.

Alikopita kakutana na magogo hivyo anajua hajawahi kuridhisha.
Anaona bora awe na mwanamke ambaye hajui kituo ni wapi asiaibike.

¶Shughuli hajui.
Anafikiri kinachohitajika ni dudu yake tu. Atakaa kukupiga saa Zima dada wa watu. Kumbe mwenzetu umeangukia kwa wale wasiofika kupitia "muingiliano".
Huwezi kuamini idadi ya wanawake ambao hawajui kituo ni wapi. Tunaolewaga shela tu maskini.

¶Hakujali.
Wakati yeye anakula ujana, anawaza mke wake yuko kwao anaosha vyombo, anamuwaza yeye mume wa kufikirika.

Anajiona yeye ndo ana haki ya kuvunja sheria za dini. Atakufunga kifikra na maneno kama "stara ya mwanamke ni bikra"

¶Ni MNAFIKI.
Baadae atatubu. Halafu ataanza kutafuta mwanamke bikra.

Atasema "asiye bikra atakuwa si mwaminifu". Yeye je?? Na pia kuonyesha jinsi shughuli haiwezi.

UTAHESHIMUJE MWANAUME MNAFIKI? Ni wa kudharaulika kama mtoto au mjinga.

Unafiki utakuwa sehemu ya maisha yenu. atakuwa mjuaji. Atajiona hakosei kama asivyoona uasherati wake.

###Mwanaume mwenye haki ya kudai bikra kwa sababu za kimaadili ni BIKRA tu. Anaonyesha yuko serious na viwango alivyojiwekea.

Ewe Dada, ni juu yako kuamua kama unataka kuwa na mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana.
Housegelo once again!!!ivi aliyekudanganya kwamba wanawake walio ndoani ndo wanafanya sana nani?!Duh!kwa taarifa yako tu ujue kuna madem wengi tu ambao hawajaolewa wanaachwa na washkaji kisa wanataka kudinywa kila wkt, yani asbh,mchana,jioni km dozi vile!wanachosha
 
Ngono kwaajili ya wanaume kweli aisee kwa mabinti ni tendo la ndoa tena lenye heshima,ndio mana ukipata mimba nje ya ndoa na unaonekana binti hunaakili hukukadiria hasara,tafuta usawa wa hivyo nawanaume utaumia.utajiunga nawale vizee Udsm wale viongozi wa harakati wenye miaka 60bado wanapete za uchumba.
Ngono si kwa ajili ya mwanaume pekee. Samahani sana.

Na kupata mimba kabla ya ndoa si Kosa la ngono bali kutozingatia uzazi wa mpango.
 
inshort bikra kwetu wanaume
inamaana ya uaminifu si kicheche

ushujaa kwa kuitoa

heshima ya mume na mke mume kujiona ni mume halali maana kama sio bikra unakua unawaza mda wowote atapeperuka kwenda kukumbushia
Hata mwanamke hufikiria hivyo hivyo. Jali hisia zake. Tunza bikra yako.
 
Back
Top Bottom