Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Acha kujifanya mtenda mwema katika maisha ya watu hao wanaokuzunguka hakuna anayekuwazia mema huu ni ukweli japo ni mchungu......
Maisha tuliofikia hivi sasa watu wanaotuzunguka maeneo ya makazini, mtaani,majumbani ambao tunawaona kama ndugu,jamaa,mashemeji au marafiki hakuna anayekuwazia mema
Hao unawasaidia leo hii, hao unawakaribisha maishani mwako kama marafiki,Hao unawaita sijui ndugu zako mtoto wa mjomba sijui Shangazi, Hao unawaita washikaji zako wa faida ndio Hao Hao watakuja kuwa adui zako wa badae, ndio Hao Hao wachora Ramani,ndio Hao Hao watakaovujisha siri kwa adui,
Kamwe usije kumuamini mtu, chunga sana kinywa chako,saidia unapoweuza usipeweza achana nao pia epuka sana mazoea zoea .