Ewe Lissu, wana Ikungi hatujakutuma hayo

Mimi ni mwana Ikungi pure kabisa simuoni Lisu akijenga vyoo kama anayofanya Sugu Mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lete ushahidi wa Lisu akiwasemea wana Ikungi shida zao

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi mzima kweli wewe?

Mtu kalala kitandani miaka kibao,atawezaje kuwatetea wakati yupo kitandani mahututi?

Niambie kwa akili yako,mtu huyu atawezaje kuongea that way?

Walao aliwatetea akiwa mzima bungeni ambao ndio sehemu sahihi hasa yenye effect!

Kuhusu kuwasemea kumbuka mimi sija-claim hivyo to begin with!

Atleast yeye ana madaraka kutoka kwao maana walimchagua!

By virtue anabeba well being yao....

Sasa wewe mwenzangu mkuna pumbu mwenzangu Ikunga haijawahi hata kukufahamu wewe ni mdudu gani,unajitia leo kuwaongelea as if wamekutuma!
 
Mbona Acacia na mabeberu wengine anaweza kuwasemea shida zao akiwa hapo kitandani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi vyoo vya Lumumba ni Ikungi? Maajabu ya maCCM.
 
Huyu jamaa kweli nyoko! Hata akiwa kitandani mahututi bado misukule inaweweseka anapopumua 😀😀😀
 
Mbona Acacia na mabeberu wengine anaweza kuwasemea shida zao akiwa hapo kitandani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wananchi wanasemewa bungeni ndio pana maamuzi!

Ndio maana kukawa na Bunge!

Bunge ni consequential kutoa maamuzi ku-effect watu wa eneo fulani!

Kuwasemea kitandani nini sasa?Salamu za Krismas au nini?

Au kusemea kitandani tunaomba zahanati?

Una akili wewe raia au?

Acacia ni public issue ilikua inazungumziwa yeye akachangia!

Two different paradigms!

Geez!
 
Kuikosoa serikali ni kutetea maslahi mapana ya taifa letu. Lissu sio selfishness kwenye swala la maslahi ya taifa.

Mkuu unataka serikali ifanye madudu yeye aiunge mkono au akenue meno na kucheka cheka tu? Wananchi tunataka kiongozi mwenye strategies na plan za kuliongoza taifa letu.



Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Hivi nani aliwadanganya kazi ya mbunge ni kuleta maendeleo enyi malumumba? mbunge hakusanyi kodi... kazi ya kuletea wananchi maendeleo ni ya serikali.. Mo dewji alipokua anajenga visima, hospitali na mabarabara huko singida alikua anatoa hisani tu kwa kile mungu allichomjalia na sio kwamba alikua anadaiwa chochote kwa ubunge wake.... Kazi za Mbunge ni tatu tu
1. Kutunga Sheria
2.Kuisimamia Serikali
3.Uwakilishi wa wananchi

Let that sink in for those lowlifes who will do anything to please their masters in high offices(Lumumba)...Pathetic!
 
Huna nasaba ya watu wa Ikungi hata waliokutuma nao hawana. Kwa hiyo huna mamlaka ya kutusemea sisi wana wa Ikungi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…