chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,063
- 931
TANGAZO TANGAZO...
WASUKUMA WOTE KESHO MNAOMBWA MFIKE KIJIJI CHA MAKUMBUSHO KUANZIA ASUBUHI SAA 3.
KUTAKUWA NA MAANDAMANO KUTOKA HAPO KUELEKEA IKULU KWA MHESHIMIWA RAIS.
DHUMUNI LA MAANDAMANO NI KUPINGA UDHALILISHAJI KWENYE MITANDAO NA WIVU TUNAOONEWA WASUKUMA TOKA BRAZA AWE RAIS.
MAANDAMANO HAYO YATAONGOZWA NA FIDQ NA HBABA.
USIKOSE..
NI MIMI MJUMBE WENU MANANZENGO
Ukabila unarudi kwa kasi! Kwani wasukuma ni watu gani nchi hii mpaka waandamane?Makabila yote yakianzisha utaratibu wa kuandamana itakuwaje?.Wakaskazini wasije nao kusema wanaandamana eti wametengwa.Haloo!This is so stupid!
Sukuma tips
Kwenye nchi hii bila kuungwa mkono na wasukuma huwezi kushinda urais.
Cotton grow in sukuma land.
Lake Victoria occupy sukuma land.
The second largest and fastest growing city in Tanzania is mwanza from sukuma land
60% ya pato la taifa come from sukuma land
Hakuna kitu kama hicho braza, these things are really jokes kutupunguzia stress za mwezi dume January,Ukabila unarudi kwa kasi! Kwani wasukuma ni watu gani nchi hii mpaka waandamane?Makabila yote yakianzisha utaratibu wa kuandamana itakuwaje?.Wakaskazini wasije nao kusema wanaandamana eti wametengwa.Haloo!This is so stupid!
Vipi kuhusu utalii na mapato ya kigeni???????????????????????Sukuma tips
Kwenye nchi hii bila kuungwa mkono na wasukuma huwezi kushinda urais.
Cotton grow in sukuma land.
Lake Victoria occupy sukuma land.
The second largest and fastest growing city in Tanzania is mwanza from sukuma land
60% ya pato la taifa come from sukuma land
Utalii ni Serengeti, mikumi, ngorongoro na mlima KilimanjaroVipi kuhusu utalii na mapato ya kigeni???????????????????????
Serengeti iko mwanza!sorry nimejichanganya kidogo.Utalii ni Serengeti, mikumi, ngorongoro na mlima Kilimanjaro