Ewe Msukuma pitia Hapa

Mleta uzi peleka uchochezi wako huko kwanza nahisi utakuwa shoga... *****.
 
Wasukuma ni watu wanaojiheshimu na si wabaguzi kwa kabila lolote pili wana sifa kuu ya ukarimu na upendo wa hali ya juu hivyo usitumie nafasi hii kufanikisha upumbavu wako kuwafanya wasukuma waonekane ni wabaguzi.
Kama ni ushamba tushasemwa ila tutabaki kuwa SUKUMA THE GREET.
 
Ngoja nimweleze bibi yangu ngolo utumbo wako huu.
 
Hujielewi wewe jamaa!
 
Game over nikuletee wangapi mwanawane ili uzidi kukandamiza nimefuga wengi kwa ajili ya uwindaji.
 
Eti THE GREET ahahahah! Inapaswa kuwa THE GREAT.

Wasukuma muwe mnauliza bhana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…