Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Kwanini wewe hayo mazuri yote unayaacha.
NDUGU MWALIMU,LUSHOTO ni wilaya yenye kila kitu,hali ya hewa safi kabisa,biashara,kilimo,utalii,burudani na starehe,ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo na ujenzi wa nyumba za kisasa,maji yanayo sapoti kilimo cha irrigation,kila zao la biashara linakubali, KAMA UKO MOROGORO mjini au BAGAMOYO na unatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo (SEKONDARI) uhamie LUSHOTO nijulishe.
COME AND ENJOY THE BEAUTY OF USAMBARA.