Ewe Mwalimu,je Unataka kuongeza kipato chako? "SOMA HAPA"

Ewe Mwalimu,je Unataka kuongeza kipato chako? "SOMA HAPA"

Fursa zipo mahala kote! sema AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO!
 
Hivi wewe ulisomea ualimu chuo gani? Kama kuoanisha kichwa cha habari na habari yenye humo ndani hujui, utaweza vipi kufuata Muhtasari (sylabus) na utakachowasilisha darasani?
 
Ahaaa hyo iko poa heb ka uko serious njoo Tarime me nijeuku huko fasta me sitak hzo fursa me nakuja 2 kwel tena yan nipa tial hata kesho nianze safari
 
Mwalimu wa sekondari anayependa kufanyia kazi Moshi mjini(manispaa) kutoka Kilosa-Morogoro piga 0764074642,ili ubadilishane.
 
Hello, nahitaji mwalimu wa kubadilishana. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nipo bunda, mara. Nataka kubadilishana na mtu ambaye yupo Manyara, Dodoma, Singida au morogoro.

Wasiliana na mimi kwa Namba
0785111722 au 0764919658 au 0716959578
 
NDUGU MWALIMU,LUSHOTO ni wilaya yenye kila kitu,hali ya hewa safi kabisa,biashara,kilimo,utalii,burudani na starehe,ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo na ujenzi wa nyumba za kisasa,maji yanayo sapoti kilimo cha irrigation,kila zao la biashara linakubali, KAMA UKO MOROGORO mjini au BAGAMOYO na unatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo (SEKONDARI) uhamie LUSHOTO nijulishe.

COME AND ENJOY THE BEAUTY OF USAMBARA.

walimu wa siku hizi,,yaan et huyu nae ni mwalimu?? fani imeingiliwa
 
Back
Top Bottom