Ewe Mwana SAUT Wa 2006 Hadi 2009 Tafadhali JITOKEZE Tukutane hapa (Mega thread)

Kama miaka yote umeishi darfur sikuwezi.. ile hostel haikua adilifu kwa maisha ya ustaarab

Pia nimeishi miaka 3,darful mbona ile pale ni sehemu nzuri?? Sema nyie wa nje mlikua mnasema tunaoishi darful ni wahuni,kwan hostel nyingine mambo yaliyokua yanafanyika darfull,kwenu hayakua yanafanyika??
 
Uliposema Tu Darfur NIMEKUMBUKA Mengi Na NIMEFURAHI KULIKOTUKUKA Kwani Ndiyo Hostel MNYAMA...MATHEMATICIAN.....Gentamycine NILIKUWA NAISHI Humo Kwa Miaka Yangu Yote Mitatu Ya SAUT Ila Kumbukumbu Yangu Kubwa Ni Ya Yule Hostel Attendant Wetu Kaka Zawadi Alivyokuwa MSHIKAJI Kwetu Lakini Kubwa Zaidi Ni Ule UVAMIZI Wa WALE MAJAMBAZI Ambapo Nakumbuka Kuna Mdau Wangu Mmoja Baraka a.k.a Bonge Sasa Yupo Stanbic Aliingia UVUNGUNI Mwa Kitanda Bila Kujitambua Ili Ajifiche Na MAJAMBAZI Yale Yalipoondoka Tu Akawa Anaomba Msaada Twende Tukanyanyue Kitanda Ili Atoke. Tulishangaa Sana Na Kucheka Huku Tukiwa Na Majeraha Ya Mabapa Ya Mapanga Ya Wanazengo. Kuhusu Kuacha Watoto Sikubishii Mkuu Kwani Tumewaacha Akina Gentamycine Juniors Wengi Sana Na Nakumbuka Kipindi Kile Nikiwa Natongoza Totooz Za Pale Nsumba, Malimbe, Nyamalango, Kona Baa Hadi Mkolani Nilikuwa Nikiyatumia Mno Majina Ya Isaac Gamba Na Maulid Kitenge Katika Kutongozea Na Hakika NILIWEZA KUNG'OA MIZIGO Sana. Nikikumbuka Vituko Vya SAUT Nabaki Kuvunjika Mbavu Tu Mkuu.

Nilienda mwanza mwaka juzi,Zawadi alikua anaumwa sana,kaka jambazi naomba niachie angalau line yangu... wewe sema kaka mzuri.... Baraka na Piere na ujanja wao wote walijificha ufunguni,Silivia Mwanjonde RIP,alikua anakuja sana darfull,kwenye ile hostel ya kwenye ule mbuyu mkubwa,room ya kwanza kulia pindi unaingia ndani,sijui alikua anaenda kwa nani.....................
 
Ulivyotaja Tu FAWASCO Nimemkumbuka Dr. Aidan Msafiri Mzee Wa Madongo Darasani Na Sasa Nabaki KUCHEKA Tu Mkuu. Nimefurahi Kujua Kuwa Kumbe Na Wewe Ni Mwana SAUT Mwenzangu Japo Umeshindwa KUNIAMKIA Kaka Yako Kwani Nilikuacha Mwaka Mmoja ( I am Just Kidding Never Mind ). Pamoja Sana coscated.

Alikua anapiga madongo kina dada,kuna wakati kina mama wa class kwetu walimfata,akawaomba msamaha na akaacha mara mora.... nakumbuka kipindi hi hicho world cup germany 2006,alikuja na nokia flan hv latest version,alikua anatusumbua kweli class,sku moja alimpa mdada mmoja simu yake acheki salio,du kulikua na laki 3!!!
Kuna siku kulikua na michango darasani,Msafiri akatoa laki 5,kuna denti mmoja kwao mambo safi akatoa 1M,Msafiri aliaga eti kaitwa na Kitima... kumbe ali mind dent kumpiga gape.....
 
Last edited by a moderator:
Saut chuo cha vilaza.

Najua Umeandika Hivi Ili Unichokonoe Nikujibu Kisha UZI Huu UCHAFUKE Ila Bahati Mbaya Mno Unayemchokoza Ni Kiongozi Mkuu Wa UCHOKOZI Humu Hivyo Kajaribu Kwingine Mkuu.
 
Aisee hii ndiyo kozi uliyosomea hapo SAUT???!! Nani amekuuliza hayo ya uvilaza???Hapa wamesema SAUT alumni, kama uzi haukuhusu pita kimya Mkuu.

Akhsante Message Sent And Delivered.
 
Nimecheka sana, nimekumbuka mbali, lakini nilimaliza 2005 malimbe. Naikumbuka Luchelele na sio chereche-ni kitambo. Nimekumbuka daladala zikitufuata kwenda disco ijumaa-Dilux, cku moja tukabambwa na kitima, tulipita njia ya seminari, tukakuta mzee anatusubiri main campus-geti dogo, ili kuwa balaa

Kweli mkuu luchelele
 
Alikua anapiga madongo kina dada,kuna wakati kina mama wa class kwetu walimfata,akawaomba msamaha na akaacha mara mora.... nakumbuka kipindi hi hicho world cup germany 2006,alikuja na nokia flan hv latest version,alikua anatusumbua kweli class,sku moja alimpa mdada mmoja simu yake acheki salio,du kulikua na laki 3!!!
Kuna siku kulikua na michango darasani,Msafiri akatoa laki 5,kuna denti mmoja kwao mambo safi akatoa 1M,Msafiri aliaga eti kaitwa na Kitima... kumbe ali mind dent kumpiga gape.....

Msafiri alikua na sifa sana aisee... yuko wapi huyu mtu
 
Nilienda mwanza mwaka juzi,Zawadi alikua anaumwa sana,kaka jambazi naomba niachie angalau line yangu... wewe sema kaka mzuri.... Baraka na Piere na ujanja wao wote walijificha ufunguni,Silivia Mwanjonde RIP,alikua anakuja sana darfull,kwenye ile hostel ya kwenye ule mbuyu mkubwa,room ya kwanza kulia pindi unaingia ndani,sijui alikua anaenda kwa nani.....................

Na Haikuwa Room Ya Kwanza Kulia Bali Ilikuwa Ni Room Ya Kwanza Tu Mkono Wako Wa Kushoto Mara Baada Ya Kumaliza Kupanda Ngazi Na Alikuwa Anaenda Kwa Boyfriend Wake Mmoja Ambaye Sasa Ni Afisa Usalama Wa Taifa Na Yupo Pale Makao Oysterbay ( Jina Lake Nalihifadhi Kwani Ni Comrade Wangu ALIYETUKUKA, TUNAPENDANA Na KUSAIDIANA Kwa Hali Na Mali Na Urafiki Wetu Utaisha Pale Labda Mmoja Wetu AKIONDOKA Duniani ). Ukitoka Tu Katika Hicho Chumba Alichokuwa Anapenda Kuingia Hayati Dada Silivia Mbele Yako Unaona Mabafu Halafu Kulia Kwako Kuna Corridor Na Ukiwa Tu Unaanza Kutembea Katika Corridor Hilo Unaacha Chumba Cha Kwanza Mkono Wa Kulia Na Chumba Cha Pili Ndimo Alimokuwa Anakaa Mathematician Gentamycine. Mpaka Hapa Ukishindwa Kunijua Basi Wewe Utakuwa Ni POPOMA. Ukimjua Lubinga Ambaye Sasa Ni Luteni JWTZ Na Yupo Makao Makuu Ya Jeshi Upanga, Huyo Boyfriend Wake Hayati Silivia Huwezi Kushindwa Kunijua Mimi Kwani Tulikuwa Hatuachani. Mbona Wewe Nimeshakujua Mkuu? Nakumbuka Tumeshawahi Kukutana Tegeta Maeneo Ya AZANIA Ukiwa Na Gari Yako IST Pembeni Uko Na Mkeo Uliyetoka Nae SAUT Na Kama Sijakosea Wewe Ndiyo Hostel Yenu Ile Mlivamiwa Na Wewe Ukapoteza Vitu Vingi Sana Ikiwemo Simu Na Laptop Yako Na Zile Hela. Habari Nilizozipata Ambazo Sijazithibitisha Bado Ila Labda Waliopo SAUT Mwanza Kwa Sasa Watuambie Ni Kwamba Zawadi HATUNAE TENA DUNIANI. Vipi Rafiki Yako Ngh'onoli Gabriel Hajambo?
 
Alikua anapiga madongo kina dada,kuna wakati kina mama wa class kwetu walimfata,akawaomba msamaha na akaacha mara mora.... nakumbuka kipindi hi hicho world cup germany 2006,alikuja na nokia flan hv latest version,alikua anatusumbua kweli class,sku moja alimpa mdada mmoja simu yake acheki salio,du kulikua na laki 3!!!
Kuna siku kulikua na michango darasani,Msafiri akatoa laki 5,kuna denti mmoja kwao mambo safi akatoa 1M,Msafiri aliaga eti kaitwa na Kitima... kumbe ali mind dent kumpiga gape.....

Nimecheka Sana Mkuu.
 
Na Haikuwa Room Ya Kwanza Kulia Bali Ilikuwa Ni Room Ya Kwanza Tu Mkono Wako Wa Kushoto Mara Baada Ya Kumaliza Kupanda Ngazi Na Alikuwa Anaenda Kwa Boyfriend Wake Mmoja Ambaye Sasa Ni Afisa Usalama Wa Taifa Na Yupo Pale Makao Oysterbay ( Jina Lake Nalihifadhi Kwani Ni Comrade Wangu ALIYETUKUKA, TUNAPENDANA Na KUSAIDIANA Kwa Hali Na Mali Na Urafiki Wetu Utaisha Pale Labda Mmoja Wetu AKIONDOKA Duniani ). Ukitoka Tu Katika Hicho Chumba Alichokuwa Anapenda Kuingia Hayati Dada Silivia Mbele Yako Unaona Mabafu Halafu Kulia Kwako Kuna Corridor Na Ukiwa Tu Unaanza Kutembea Katika Corridor Hilo Unaacha Chumba Cha Kwanza Mkono Wa Kulia Na Chumba Cha Pili Ndimo Alimokuwa Anakaa Mathematician Gentamycine. Mpaka Hapa Ukishindwa Kunijua Basi Wewe Utakuwa Ni POPOMA. Ukimjua Lubinga Ambaye Sasa Ni Luteni JWTZ Na Yupo Makao Makuu Ya Jeshi Upanga, Huyo Boyfriend Wake Hayati Silivia Huwezi Kushindwa Kunijua Mimi Kwani Tulikuwa Hatuachani. Mbona Wewe Nimeshakujua Mkuu? Nakumbuka Tumeshawahi Kukutana Tegeta Maeneo Ya AZANIA Ukiwa Na Gari Yako IST Pembeni Uko Na Mkeo Uliyetoka Nae SAUT Na Kama Sijakosea Wewe Ndiyo Hostel Yenu Ile Mlivamiwa Na Wewe Ukapoteza Vitu Vingi Sana Ikiwemo Simu Na Laptop Yako Na Zile Hela. Habari Nilizozipata Ambazo Sijazithibitisha Bado Ila Labda Waliopo SAUT Mwanza Kwa Sasa Watuambie Ni Kwamba Zawadi HATUNAE TENA DUNIANI. Vipi Rafiki Yako Ngh'onoli Gabriel Hajambo?

The prince mswati,namujua sana,pia nakujua sana.....sema siku mingi hatujaonana,mkuu kaka wezi walinikomba,Lubinga nilikua nae juzi kati pale Lugalo.......!!! Poa kamanda pamoja sana mpe Hi jamaa wa idarani.....!!
 
Kama miaka yote umeishi darfur sikuwezi.. ile hostel haikua adilifu kwa maisha ya ustaarab

Ila Umesema Tu Upande Mmoja Wa Shilingi Lakini Umeacha Kutusifia Kuwa SAUT Nzima Hostel Ambayo Ilikuwa Inatoa Wanafunzi Wanaofanya Vizuri Madarasani Karibia Katika Kozi Zote Ni Yetu Ya DARFUR Na Ukitaka Kulithibitisha Hili Nenda SAUT Ofisi Ya Mitihani Na Matokeo WATAKUTHIBITISHIA Hili. Na Kuna Sehemu Fulani Katika Somo La Psychology Linasema Kuwa Always Mtu Ambaye Ni MTUKUTU a.k.a MTUNDU Na Haishi Vituko Na Visa Awe Nyumbani au Ofisini au Katika Jamii Huwa Ni WEREVU WALIOTUKUKA. Labda Waliobobea Katika Psychology Watatusaidia Katika Hili ILA Binafsi Nimeshalithibitisha Beyond Doubt.
 
The prince mswati,namujua sana,pia nakujua sana.....sema siku mingi hatujaonana,mkuu kaka wezi walinikomba,Lubinga nilikua nae juzi kati pale Lugalo.......!!! Poa kamanda pamoja sana mpe Hi jamaa wa idarani.....!!

Kwa UFAFANUZI Huo Niliokupa Ningeshangaa Kama Usingenifahamu Mkuu. The Prince Nadhani Atakuwa Ameshakusikia Mwenyewe Kwani Hata Na Yeye Muda Mwingi Tu 24/7 Huwa Habanduki Humu JF Na Hasa Hasa UKIZINGATIA Kipindi Hiki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015. Nisalimie Hapo TAKUKURU Mkuu.
 
Watoto wazuri walikua ADA...Cossy makale Na wenzie...mpira ADA Ettoo wa vitoto....nimekumbuka mbali hasa vituko vya babu bishagazi

Ha Ha Ha Ha Ha Mkuu........ Uliposema Tu Etoo Nimekumbuka Jinsi Alivyotaka Kunywa SUMU Kwa Ajili Ya Yule Demu ( Jina Kapuni ) Na Kama Hiyo Haitoshi Kuna Siku Moja Nakumbuka Etoo Alikuwa Anamtongoza Demu Mmoja Hivi Kila Akitongoza Demu Anachomoa Jamaa Alivyo Creative Akaona Isiwe Taabu Akawa ANATONGOZA Huku ANALIA Na Machozi Yanamtoka Demu Mwenyewe KACHOJOA Ikawa Imo! Shikamoo Etoo Kwani Hata Mimi Style Yako Hii Huwa Naitumia Sana KUTONGOZEA Na INANISADIA Kwa Kiasi Kikubwa Japo Muda Mwingine MACHOZI Yanakuwa Hayapo au Hayaji Hivyo INANIBIDI Tu Nijirushie Maji Machoni Ili Kupata STIMU Ya Kulia.
 
Back
Top Bottom