GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
P unavituko sana.....! Nimeonana kwa bahati mbaya sana na Mswati pale dstv.....
S Na Wewe Huishiwi Vituko Mno.........Sema Umeonana Na Mwana UWT Mwenzio Makao Makuu Yenu. Kwani PCCB Na TISS Hamna Tofauti Sana. Vipi Bado Upo Tegeta?
Nimemiss mbwembwe za Fawasco na Pro Life. Baso wakifunga mziki, PR wakiwa na kikundi cha Ngoma.
Mitaa ya Nyamalango mpaka Darfur kiumeni.
Watu mmeacha watoto wenu wengi mliozaa na wananzengo.
Ila Kabla Ya Kuendelea Kwanza NICHUKUE MUDA HUU KUTAMBUA JUHUDI Za WAHADHIRI Na WAKUFUNZI WETU Wote Wa SAUT Bila Kusahau SUPPORTING STAFF Wote Wa SAUT Kwa JUHUDI Zenu Za Hali Na Mali Katika KUTUPA ELIMU BORA, NZURI Na ILIYOTUKUKA Ambayo Leo INATUSAIDIA Na KUTUFANYA TUWE WATU TEGEMEO Katika MAENDELEO MAZIMA Ya Nchi Yetu Na Taifa Letu. Salamu Zangu Ziwafikieni WAHADHIRI Na WAKUFUNZI WOTE WA SAUT POPOTE MLIPO. NAWAPENDA Na TUNAWAPENDA Mno Na KULIKOTUKUKA Na Tunawaomba Endeleeni KUWAPA MADINI MAZURI Na Ya MAANA WADOGO ZETU WANAOENDELEA Kusoma Hapo SAUT Sasa.
Salamu Zangu Za Dhati Ziwafikie Wahadhiri Wangu Hawa Wafuatao Na Kama Sitokutaja Naomba UNISAMEHE Kwani Yawezekana Nikawa Nimekusahau Tu Ukizingatia Ni Miaka Mingi Kidogo Toka Nitoke Hapo Mwanza:
- Deitrick Kaijanangoma ( Sasa Kahamia SJMC........UDSM )
- Peter Mataba
- Robert Mkosamali
- Robert Ikachoi
- Barrack Otieno
- Xavier Ng'atigwa
- Charles Kitima
- Nkwabi Ng'wanakilala ( RIP )
- Bernard Mfumbusa
- Aidan Msafiri
- Luzinga
- Massanja
- Father White
Wengineo Mtawaongezea Na Hata Wa Fani Zingine Kwani Mimi Hao Watajwa Wengi Wao Hapo Ni Wa Kozi Yetu Ya Mass Communication Japo Luzangi Ni Wa UCHUMI Huku Massanja Akiwa Ni Wa SHERIA.
luzangi ni shidah,
walimu wote nitawasahau,ila si masanja amenisaidia sana chuoni.mungu ambariki.
Fr. Benard Mfumbusa..sitakaa nimsahau huyu mzee alinisaidia sana baada ya ofis ya admission kutaka kunichakachua namba yangu ya chuo teh kisa nilichelewa kuripoti..winie na alex janja sana hawa watu..ila niliwakomesha..:biggrin1:
SAFI SANA KWA KWELI MUNGU AZIDI KUMBARIKI NA KUMPA UMRI MREFU.. I WISH NINGEKUA NA MAWASILIANO NAO HATA NINGEWEZA KUMZAWADIA BILA YEYE NISINGEKUA NIMEPATA HATA HICHI KIDEGREE CHA PROCUREMENT MAANA YULE SECRETARY WA ADMISSION ENZI HIZO WINNIE ALINILETEA KAUZIBE... KWENYE RIZIKI YANGU MWEEH:biggrin1:Fr. Dr. Bernadin Mfumbusa Kwangu Mimi Ni Zaidi Ya Mwalimu Na Watu Wa Tasnia Yetu Ya Mawasiliano Ya UMMA Na Habari Tuliopitia SAUT Mtakubaliana Na Mimi Kuwa Huyu Jamaa Ni JEMBE LILILOTUKA Na Amevuka Level Ya Intelligent Na Ni Pure Genius Wa Karne Hii. Namshukuru Kwa KUNIPIKA Kwake Na NIMEPIKIKA Na Sasa Ni Askofu Kwa Watani Zangu Mkoani Singida. Nilipenda Mno Aendelee Kufundisha Kwani Ni HAZINA Kubwa Sana KITAALUMA. Ana Vitu Adimu Mno Ambavyo Huwezi Kuvikuta Kwa Wahadhiri Wengine. Najitahidi Nimuige Lakini Sijafikia Hata Tu Theluthi Yake Badala Amebakia Tu Kuwa Mentor Wangu. Najua Hata Humu JF Huwa Yupo Sana Tu Na Hii Post Yangu Nina Uhakika Ataiona Tu Na Namwomba Apokee Kwa Mikono Miwili Hizi SIFA Zangu ZILIZOTUKUKA Kwake. Shikamoo Mwalimu Mfumbusa a.k.a Mzee Wa Makavu Live!
Dah..., Baso mbwembwe umenikumbusha mbali sana. Course iliyokuwa na watu wenye kila aina ya mikogo.Hahaaahaa .. BASOOO MBWEMBWEE