Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Hakuna mashabiki wanafiki na wanaa kama wa Makolo.Yaani vikosi vyote Boko hayupo? Aisee
Kikosi chochote sitaki kuona kapombe akianza wala NyoniKikosi A
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein ( Captain )
4. Joash Onyango
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude Injini ya Taifa
7. Hassan Dilunga
8. Saido Kanoute
9. Meddie Kagere
10. Kibu Denis
11. Bernard Morrison
Kikosi B
1. Aishi Manula
2. Israeli Mwenda
3. Mohamed Hussein ( Captain )
4. Kennedy Juma
5. Henock Inonga
6. Jonas Mkude Injini ya Taifa
7. Bernard Morrison
8. Larry Bwalya
9. Meddie Kagere
10. Kibu Denis
11. Peter Banda
Kikosi C
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein ( Captain )
4. Kennedy Juma
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude Injini ya Taifa
7. Kibu Denis
8. Muzamir Yasin
9. Meddie Kagere
10. Larry Bwalya
11. Bernard Morrison
Kikosi D
1. Aishi Manula
2. Israel Mwenda
3. Mohamed Hussein ( Captain )
4. Henock Inonga
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude Injini ya Taifa
7. Hassan Dilunga
8. Larry Bwalya
9. Meddie Kagere
10. Kibu Denis
11. Bernard Morrison
Kikosi ambacho kuanzia Usiku huu naandika Uzi huu mpaka Jumatatu Saa 5 na dakika 59 Usiku kitaongoza kwa Kutajwa ( Kupendwa ) na wana Simba SC wote wa hapa JamiiForums ndicho ambacho GENTAMYCINE nitaingia nacho 'Chimbo' kwa Kazi 'Maalum' ambayo ninakoenda sasa nina uhakika nako tena kwa 100% kuwa nitafanikiwa na tarehe 11 Disemba, 2021 itakuwa ni Siku ya Furaha sana kwa wana Simba SC wote duniani.
Taja tu Kikosi na sitaki maneno mengi!!!
Ukitaka nigombane nawe mseme vibaya Mkude au asipangwe kwani ni Mwanangu, Mdogo wangu na nimemfundisha Mpira mpaka huo 'Usela' wake tokea anakua Kwao Kinondoni Biafra huku akija sana kucheza Soka Kawe, Tegeta na Temeke kabla sijawakabidhi akina Suleiman Matola na Patrick Rweymamu wakiwa na Simba SC B yao ili wamtengeneze vizuri na apande Kuchezea Timu ya Wakubwa.Mkude asichezeshwe hiyo mechi.
Mkude anapaka sana mafuta mpira wakt wenzie washafungua vyumba.
mkude baada ya kupaka mafuta mpira pasi zake hazivuki mstari, ama narudisha nyuma. yaani atatoa pasi wide in an acute angle, wakt timu ishaenda mbele, na once mpira ukitpotea in btn lazima tufungwe.
Mkude alipangwa nadhani mechi na kaizer kule kwao, aliigharimu timu, na mwl aliona. Simba ilifungwa hasa kwa ajili yake. Kaiza ilipokuja tz mkude hakucheza na Simba ilikuwa bora na matokeo yalionekana.
Mkude mechi mbili au tatu na Yanga, aliigharimu timu na tulidroo na ingine tulifungwa. anacheza sana na jukwaa na anapenda kukaa na mpira unnecessary wakt timu ishapanda.
Mkude ni mzuri, kama tunataka draw, kama tunataka kujihami, maana anakaa na mpira sana.
Siyo kama bali ni Ushirikina na Nitaroga.Hii ni kama aina fulani ya ushirikina!
Hiki ndo kikosi changu sasa. Full List!! Sema huyo mkude mchomoe hapo. Hajawahi kucheza no 8Cha kwangu mimi ni hiki
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Joash Onyango
5. Henock Inonga
6. Thadeo Lwanga
7. Kibu Dennis
8. Jonas Mkude
9. Meddie Kagere
10. Larry Bwalya
11. Bernard Morrison
Sub.
1. Beno Kakolanya
2. Kennedy Juma
3. Mzamiru Yasin
4. Hassan Dilunga
5. Ibrahim Ajibu
6. Peter Banda
Lengo la Mkude hapo ni kucheza double pivot na Thadeo Lwanga.Hiki ndo kikosi changu sasa. Full List!! Sema huyo mkude mchomoe hapo. Hajawahi kucheza no 8
Nani sasa ataunganisha defense na washambuliaji ( Box to box)? Maana mkude Hana mentality ya kushambulia, na kukaba hakabi Wala kukata umeme. Muda ukimuona ni muda anapiga pasi za pembeni...hiyo siyo kazi ya defensive midfielderLengo la Mkude hapo ni kucheza double pivot na Thadeo Lwanga.
Kilosi B ni hatari na nusu.Kikosi A
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein ( Captain )
4. Joash Onyango
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude Injini ya Taifa
7. Hassan Dilunga
8. Saido Kanoute
9. Meddie Kagere
10. Kibu Denis
11. Bernard Morrison
Kikosi B
1. Aishi Manula
2. Israeli Mwenda
3. Mohamed Hussein ( Captain )
4. Kennedy Juma
5. Henock Inonga
6. Jonas Mkude Injini ya Taifa
7. Bernard Morrison
8. Larry Bwalya
9. Meddie Kagere
10. Kibu Denis
11. Peter Banda
Kikosi C
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein ( Captain )
4. Kennedy Juma
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude Injini ya Taifa
7. Kibu Denis
8. Muzamir Yasin
9. Meddie Kagere
10. Larry Bwalya
11. Bernard Morrison
Kikosi D
1. Aishi Manula
2. Israel Mwenda
3. Mohamed Hussein ( Captain )
4. Henock Inonga
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude Injini ya Taifa
7. Hassan Dilunga
8. Larry Bwalya
9. Meddie Kagere
10. Kibu Denis
11. Bernard Morrison
Kikosi ambacho kuanzia Usiku huu naandika Uzi huu mpaka Jumatatu Saa 5 na dakika 59 Usiku kitaongoza kwa Kutajwa ( Kupendwa ) na wana Simba SC wote wa hapa JamiiForums ndicho ambacho GENTAMYCINE nitaingia nacho 'Chimbo' kwa Kazi 'Maalum' ambayo ninakoenda sasa nina uhakika nako tena kwa 100% kuwa nitafanikiwa na tarehe 11 Disemba, 2021 itakuwa ni Siku ya Furaha sana kwa wana Simba SC wote duniani.
Taja tu Kikosi na sitaki maneno mengi!!!
Bwalya automatically atashuka kuunganisha timu Chini Kibu na Ben Wataingia kati Flanks watawaachia Tshabalala na Kapombe. Mkude ni mzuri akiwa na mpira mguuni na kutoa pasi za pembeni kwa Shomari na Mohammed. Huku Bwalya atakua ni kupiga pasi za mbele na kuanzisha mashambulizi toka kati. Henock, Babu Onyango na Lwanga watakua ni kudefend.Nani sasa ataunganisha defense na washambuliaji ( Box to box)? Maana mkude Hana mentality ya kushambulia, na kukaba hakabi Wala kukata umeme. Muda ukimuona ni muda anapiga pasi za pembeni...hiyo siyo kazi ya defensive midfielder
Mwana wewe ushamwelewa MkudeNani sasa ataunganisha defense na washambuliaji ( Box to box)? Maana mkude Hana mentality ya kushambulia, na kukaba hakabi Wala kukata umeme. Muda ukimuona ni muda anapiga pasi za pembeni...hiyo siyo kazi ya defensive midfielder
Kapombe naye muda umeshamtupa mkono, anakaba kwa macho. Akipanda mzito kurudi, timu zinazo ijua Simba, hupitia kwa Kapombe akipangwaBwalya automatically atashuka kuunganisha timu Chini Kibu na Ben Wataingia kati Flanks watawaachia Tshabalala na Kapombe. Mkude ni mzuri akiwa na mpira mguuni na kutoa pasi za pembeni kwa Shomari na Mohammed. Huku Bwalya atakua ni kupiga pasi za mbele na kuanzisha mashambulizi toka kati. Henock, Babu Onyango na Lwanga watakua ni kudefend.
Yeah sasa hivi kawa mzito ingawa Israel bado hajafikia standard za Kapombe ingawa alicheza vizuri sana game ya Red ArrowsKapombe naye muda umeshamtupa mkono, anakaba kwa macho. Akipanda mzito kurudi, timu zinazo ijua Simba, hupitia kwa Kapombe akipangwa