Mkude asichezeshwe hiyo mechi.
Mkude anapaka sana mafuta mpira wakt wenzie washafungua vyumba.
mkude baada ya kupaka mafuta mpira pasi zake hazivuki mstari, ama narudisha nyuma. yaani atatoa pasi wide in an acute angle, wakt timu ishaenda mbele, na once mpira ukitpotea in btn lazima tufungwe.
Mkude alipangwa nadhani mechi na kaizer kule kwao, aliigharimu timu, na mwl aliona. Simba ilifungwa hasa kwa ajili yake. Kaiza ilipokuja tz mkude hakucheza na Simba ilikuwa bora na matokeo yalionekana.
Mkude mechi mbili au tatu na Yanga, aliigharimu timu na tulidroo na ingine tulifungwa. anacheza sana na jukwaa na anapenda kukaa na mpira unnecessary wakt timu ishapanda.
Mkude ni mzuri, kama tunataka draw, kama tunataka kujihami, maana anakaa na mpira sana.